-
China: Uvamizi na uhasama dhidi ya Palestina haupaswi kuhalalishwa
Jul 07, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameashiria kuhusu uungaji mkono wa nchi hiyo ya Asia kwa wananchi madhulumu wa Palestina na kusisitiza kuwa, kuhujumiwa haki za msingi za Wapalestina hakupaswi kuhalalishwa.
-
Jumapili, 5 Julai, 2020
Jul 05, 2020 01:35Leo ni Jumapili tarehe 13 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1441 Hijria ambayo inalingana na tarehe 5 Julai 2020 Miladia.
-
Maafisa 2 wa UN huko Israel wasimamishwa kazi kwa ufuska
Jul 04, 2020 03:39Umoja wa Mataifa umewasimamisha kazi maafisa wake wawili wa timu ya operesheni za usalama eneo la Asia Magharibi baada ya kubainika kuwa walijihusisha na vitendo vya ufuska ndani ya utawala haramu wa Israel.
-
Nchi za Amerika ya Latini zashinikiza vikwazo dhidi ya Israel
Jul 04, 2020 03:14Marais wa zamani na shakhsia wengine mashuhuri wa kisiasa wa nchi za Amerika ya Latini wamekosoa vikali mpango wa utawala haramu wa Israel wa kupora eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuliunganisha na ardhi nyingine ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina waandamana Gaza kulaani uporaji wa ardhi zao
Jul 01, 2020 21:48Maelfu ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza jana Jumatano walifanya maandamano makubwa ya kulaani mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Spika wa Bunge la Iran atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel
Jul 01, 2020 21:40Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua athirifu za kukomesha jinai za utawala haramu wa Israel, hususan mpango wa utawala huo ghasibu wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina.
-
Hania aainisha malengo matatu ya Israel ya kupora ardhi za Palestina
Jun 30, 2020 08:12Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema utawala wa Kizayuni wa wa Israel unafuatilia malengo matatu makuu katika mpango wake wa kutaka kutwaa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran: Iwapo Israel itapora ardhi zaidi za Wapalestina itapata jibu kali la wapigania ukombozi wa Palestina
Jun 26, 2020 11:43Mshauri wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mpango wake wa kupora ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
"Marekani kuikingia kifua Israel kumelishushia hadhi Baraza la Usalama"
Jun 25, 2020 03:19Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema hatua ya Marekani ya kuendelea kuukingia kifua na kuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel imelifanya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipoteze hadhi yake na likose maana.
-
Jeshi la Israel latumia wanyama hai kufanyia majaribio silaha zake
Jun 22, 2020 07:44Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel linawatumia wanyama walio hai kufanyia majaribio silaha zake kwa siri.