Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Msimamo mmoja wa dunia dhidi ya mpango wa utawala wa Kizayuni na uungaji mkono wa Marekani kwa mpango huo

    Apr 26, 2020 20:10

    Serikali ya Rais Donald Trump imekuwa ikichukua hatua zisizo za kawaida katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni ambapo kati ya hatua hizo ni kuafiki rasmi suala la kuunganishwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine yanayokaliwa kwa mabavu na utawala huo bandia.

  • Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Apr 26, 2020 03:28

    Maelfu ya raia wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano kupinga makubaliano ya kuunda serikali ya muungano baina ya Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud na kiongozi wa chama cha Blue and White, Benny Gantz, huku wakimtaja Waziri Mkuu huyo wa Israel kama mshukiwa wa jinai na kiongozi fisadi ambaye hapaswi kuendelea kuuongoza utawala huo bandia.

  • Utawala haramu wa Kizayuni na mkosi wa jina 'Netanyahu'

    Utawala haramu wa Kizayuni na mkosi wa jina 'Netanyahu'

    Apr 19, 2020 04:57

    Duru za habari za utawala haramua wa Kizayuni zinasema kwamba Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala huo ametishia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kwamba iwapo mahakama itamuuzulu kwenye nafasi yake hiyo, basi atachochea uasi wa mitaani.

  • Hamas yataka OIC ichukue hatua za kuzuia unyakuzi wa ardhi unaofanywa na Israel

    Hamas yataka OIC ichukue hatua za kuzuia unyakuzi wa ardhi unaofanywa na Israel

    Apr 13, 2020 22:00

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ichukue hatua za dharura za kuzuia hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • UAE yanunua mfumo wa makombora wa Israel na kuwapa wapiganaji wa Haftar

    UAE yanunua mfumo wa makombora wa Israel na kuwapa wapiganaji wa Haftar

    Apr 12, 2020 23:08

    Umoja wa Falme za Kiarabu umenunua mfumo wa kisasa wa makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa ajili ya kuwapa wanamgambo wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar.

  • Hamas: Tutakubali kubadilishana wafungwa na Israel kwa masharti

    Hamas: Tutakubali kubadilishana wafungwa na Israel kwa masharti

    Apr 09, 2020 03:51

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema harakati hiyo imeazimia kuhakikisha kuwa wafungwa wa Kipalestina walioko katika jela za Israel wanaachiwa huru katika mpango wa kubadilishana wafungwa na utawala huo wa Kizayuni.

  • Arab League yatahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kulitumia vibaya janga la Corona

    Arab League yatahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kulitumia vibaya janga la Corona

    Apr 08, 2020 03:33

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amezungumza kwa simu na Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) na kutahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kutumia vibaya janga la virusi vya corona.

  • Matokeo ya uchaguzi wa bunge wa utawala haramu wa Kizayuni na mpasuko mkubwa wa ndani

    Matokeo ya uchaguzi wa bunge wa utawala haramu wa Kizayuni na mpasuko mkubwa wa ndani

    Mar 06, 2020 04:07

    Matokeo ya uchaguzi wa tatu wa bunge la utawala haramu wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, kabla ya jambo jingine lolote yanaonyesha kuwepo mpasuko mkubwa ndani ya utawala huo.

  • Jumatatu tarehe 2 Machi 2020

    Jumatatu tarehe 2 Machi 2020

    Mar 01, 2020 20:53

    Leo ni Jumatatu tarehe 7 Rajab 1441 Hijria sawa na tarehe 2 Machi 2020.

  • EU yakosoa mpango wa Israel wa kujenga vitongoji vipya Ukingo wa Magharibi

    EU yakosoa mpango wa Israel wa kujenga vitongoji vipya Ukingo wa Magharibi

    Feb 29, 2020 09:50

    Umoja wa Ulaya umekosoa vikali mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga maelfu ya vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS