Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?

    Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?

    Sep 02, 2025 23:02

    Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Tulishindwa: Jeshi la Israel lakiri kushindwa katika shambulio kubwa dhidi ya Gaza

    Tulishindwa: Jeshi la Israel lakiri kushindwa katika shambulio kubwa dhidi ya Gaza

    Sep 01, 2025 04:22

    Jeshi la Israel limekiri kuwa shambulio lake la mwezi Mei mwaka huu lilishindwa kutoa kipigo kwa Harakati ya Hamas katika Ukanda wa Gaza na kutwaa asilimia 75 ya eneo hilo, licha ya kuwa na wanajeshi na zana nyingi za kivita.

  • Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Sep 01, 2025 03:54

    Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.

  • Biashara ya umwagaji damu za watoto na namna mauaji ya kimbari ya Ghaza yanavyoipatia faida nono Lockheed Martin ya US

    Biashara ya umwagaji damu za watoto na namna mauaji ya kimbari ya Ghaza yanavyoipatia faida nono Lockheed Martin ya US

    Aug 31, 2025 03:43

    Kampuni ya Lockheed Martin ni moja ya waundaji wakubwa zaidi wa silaha na zana za kijeshi duniani na inahesabiwa kuwa miongoni mwa taasisi kubwa zaidi katika sekta ya kijeshi na viwanda nchini Marekani.

  • Yemen yawaonya Wazayuni: Siku za giza zinakuwajihini, hamtaonja tena ladha ya usalama

    Yemen yawaonya Wazayuni: Siku za giza zinakuwajihini, hamtaonja tena ladha ya usalama

    Aug 30, 2025 23:18

    Rais wa Yemen ameuonya utawala wa Israel kuhusu uhakika wa serikali ya Sana'a kulipiza kisasi cha mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na Tel Aviv dhidi ya waziri mkuu wa taifa hilo la Peninsula ya Kiarabu, pamoja na maafisa wengine wanane.

  • Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Aug 30, 2025 02:24

    Chaneli ya i24 ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kujiri mapigano makali kwenye viunga vya Mji wa Ghaza kati ya wanamuqawama wa Palestina na askari wa utawala huo ghasibu wakati askari hao wanajaribu kuuteka mji huo kupitia mashambulizi ya anga na mizinga mikubwa.

  • Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza

    Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza

    Aug 30, 2025 02:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan ametangaza kuwa nchi hiyo inafunga anga na bandari zake kwa ndege na meli za utawala wa kizayuni wa Israel, na kukata kikamilifu mahusiano yote ya kiuchumi na kibiashara na utawala huo kutokana na vita vyake vya mauaji ya kimbari unavyoendeleza huko Ghaza, Palestina.

  • Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'

    Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'

    Aug 28, 2025 02:37

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.

  • Pigo jingine kwa Mpango wa Abraham; Kwa nini Libya inapinga uhusiano wa kawaida na Israel?

    Pigo jingine kwa Mpango wa Abraham; Kwa nini Libya inapinga uhusiano wa kawaida na Israel?

    Aug 26, 2025 08:33

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imekataa nchi hiyo kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?

    Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?

    Aug 25, 2025 23:12

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS