• HAMAS: Iran ndiye muungaji mkono wa kweli wa muqawama na taifa la Palestina

    HAMAS: Iran ndiye muungaji mkono wa kweli wa muqawama na taifa la Palestina

    Feb 13, 2016 04:42

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, hakuna nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu ambayo hadi hivi sasa imeweza kuifikia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunga mkono muqawama na taifa linalodhulumiwa la Palestina.

  • Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel

    Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel

    Feb 11, 2016 23:22

    Jumatano ya tarehe 10 Februari, mahakama moja huko Baytul Muqaddas ilitoa hukumu dhidi ya Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kwa kuharibu mchakato wa kusikiliza kesi yake. Inatarajiwa kuwa, Jumatatu ijayo, Olmert atapelekwa jela rasmi. Kabla ya hapo pia, waziri mkuu huyo wa zamani wa utawala wa Kizayuni alikuwa amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ufisadi mkubwa wa fedha na kutumia vibaya madaraka yake.

  • Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel

    Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel

    Feb 11, 2016 21:31

    Jumatano ya tarehe 10 Februari, mahakama moja huko Baytul Muqaddas ilitoa hukumu dhidi ya Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kwa kuharibu mchakato wa kusikiliza kesi yake. Inatarajiwa kuwa, Jumatatu ijayo, Olmert atapelekwa jela rasmi. Kabla ya hapo pia, waziri mkuu huyo wa zamani wa utawala wa Kizayuni alikuwa amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ufisadi mkubwa wa fedha na kutumia vibaya madaraka yake.

  • Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina

    Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina

    Feb 09, 2016 11:24

    Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza

    Feb 07, 2016 00:11

    Ripoti mbalimbali kuhusu Ghaza zinabainisha kuwa eneo hilo linakabiliwa na hali mbaya kutokana na kusuasua zoezi la kukarabati uharibifu uliosababishwa na jinai kubwa za utawala wa Kizayuni hususan katika vita vitatu vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.