-
Safavi: Marubani zaidi ya 16 wa Israel waliuawa katika vita vya siku 12
Sep 28, 2025 07:32Mshauri mkuu wa masuala ya kijeshi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, zaidi ya marubani 16 wa Israel waliangamizwa katika vita vya siku 12 vilivyotwishwa Iran na utawala wa Kizayuni.
-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 07:40Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Sep 26, 2025 05:53Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.
-
Sababu zilizoifanya Colombia itoe wito wa aina yake wa kuundwa jeshi la kimataifa la kuikomboa Palestina
Sep 25, 2025 22:56Colombia imetoa wito wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Iran yaonyesha taswira za ndani ya kinu cha nyuklia cha Israel, taarifa nyeti za wanasayansi na wataalamu 189 wa kijeshi
Sep 25, 2025 03:33Kwa mara ya kwanza, Wizara ya Usalama ya Iran imeonyesha hadharani picha na taswira nyeti za ndani ya kinu cha nyuklia cha Dimona cha utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Shambulio la droni la Yemen lajeruhi wazayuni 22 Eilat, wawili hali zao mahututi
Sep 25, 2025 03:33Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi watu 22 wakiwemo wawili ambao hali zao ni mahututi. Hayo yanajiri wakati jeshi la kizayuni likiwa lingali linaendeleza vita vyake vya kinyama na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Politico: Trump amewaambia viongozi wa nchi za Kiislamu hatairuhusu Israel iutwae Ukingo wa Magharibi
Sep 25, 2025 03:11Tovuti ya habari ya Politico imeripoti kuwa, katika mkutano wa faragha aliofanya Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wa nchi kadhaa za Kiarabu na Kiislamu, rais huyo wa Marekani aliwaahidi viongozi hao kwamba, hatamruhusu waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu autwae kikamilifu Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Mjumbe maalumu wa US Syria: Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama
Sep 25, 2025 00:41Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria Tom Barrack amedai kuwa utawala wa kizayuni wa Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama.
-
Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO
Sep 25, 2025 00:10Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."
-
Marekani inatafakari kuiwekea vikwazo mahakama nzima ya ICC kwa kuchunguza jinai za Israel Ghaza
Sep 23, 2025 02:59Marekani inatafakari juu ya kuiwekea vikwazo vikali Mahakama nzima ya Kimataifa ya Jinai (ICC) mapema wiki hii, hatua ambayo inaweza kuvuruga sana shughuli za mahakama hiyo katika kuchunguza uhalifu wa kivita uliofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza.