-
Je, ni hatua gani ya hivi majuzi ya rais wa Colombia dhidi ya Israel?
Jul 29, 2025 23:11Rais wa Colombia Gustavo Petro hivi karibuni alitoa amri ya kuzuia mauzo ya makaa ya mawe ya nchi hiyo kwa utawala wa Israel.
-
Nini uchambuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kuhusu lengo la utawala wa Kizayuni huko Gaza?
Jul 27, 2025 06:47Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametahadharisha kuhusu nia ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa wakaazi wa Gaza kutoka katika ukanda huo.
-
Swali la Leo: Je, kauli ya Kaja Kallas Kwamba “Machaguo Yote Yako Mezani Dhidi ya Israel” ina mashiko yoyote?
Jul 24, 2025 07:20Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amedai kuwa “mauaji ya raia wasio na hatia wa Kipalestina lazima yakome,” la sivyo, “Machaguo Yote Yatazingatiwa dhidi ya Israel.”
-
Kwa nini Marekani imejiondoa rasmi UNESCO?
Jul 23, 2025 05:28Marekani ilitangaza Jumanne, Julai 22, kwamba imejiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO.
-
Wanajeshi 5 wa Kizayuni wajiua ndani ya wiki 2 kutokana na msongo wa mawazo
Jul 21, 2025 03:51Kwa akali wanajeshi watano wa Israel wamejiua katika muda wa wiki mbili zilizopita, wakiwemo askari wa akiba walioadikishwa jeshini hivi majuzi, baada ya kuongezwa muda wa operesheni za Gaza na maeneo mengine yenye mizozo.
-
UNRWA: Israel inawatesa raia kwa njaa Ghaza, wakiwemo watoto milioni moja
Jul 20, 2025 09:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kwa mara nyingine tena limeushutumu utawala wa kizayuni wa Israel kwa kutumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani
Jul 20, 2025 00:07Baraza la Wawakilishi la Marekani limepinga marekebisho ya Marjorie Taylor Greene, mbunge katika baraza hilo, kwa ajili ya kupunguza msaada wa kijeshi wa dola milioni 500 kwa Israel.
-
Sababu za Kundi la The Hague kusimamisha biashara ya kijeshi na utawala wa kizayuni
Jul 18, 2025 11:20Nchi zinazounda Kundi la Hague, yaani The Hague Group zimetangaza kuwa zimesitisha biashara ya kijeshi na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kamanda wa IRGC: Tupo tayari kuendeleza vita pale vilipoishia
Jul 17, 2025 11:04Meja Jenerali Mohammad Pakpour, Kamanda wa Vikosi vya Ardhini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ametangaza kwamba majeshi ya Iran yamejipanga kikamilifu kushambulia tena, akiwaonya maadui kwamba uchokozi wowote ujao utakabiliwa na jibu la haraka, na kuendeleza vita hivyo pale vilipoishia.
-
Ansarullah yapiga kwa kombora, droni maeneo hasasi ya Israel
Jul 17, 2025 01:09Vikosi vya Wanajeshi vya Yemen vimeshambulia maeneo matatu nyeti ya Israel kwa kombora la balestiki na ndege nne zisizo na rubani, baada ya kuulazimisha utawala huo ghasibu kutangaza kufungwa kwa moja ya bandari zake muhimu.