-
Somaliland yajitoa kimasomaso, yakanusha kuafiki kujengwa kambi za kijeshi za Israel
Jan 02, 2026 02:46Eneo la Somaliland la kaskazini mwa Somalia limekanusha madai kwamba lilikubali kuwa mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Israel na kuwapokea Wapalestina waliofurushwa kutoka Gaza ili kutambuliwa na Israel.
-
Kwa nini kiwango cha kujiua katika jeshi la Israel kimefikia kiwango cha juu zaidi?
Jan 02, 2026 02:36Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isarel, kwa kukiri kujiua kwa makumi ya wanajeshi wake, limekubali kuwa jumla ya wanajeshi 151 wamepoteza maisha katika mwaka huu wa sasa.
-
Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran
Jan 01, 2026 10:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.
-
Israel yakemewa, yalaaniwa kimataifa kwa kupiga marufuku asasi 37 zinazotoa misaada Ghaza
Jan 01, 2026 06:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani marekebisho ya sheria yaliyopitishwa na Bunge la utawala wa kizayuni wa Israel, Knesset Desemba 29, yanayohusu kusitishwa shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa
Dec 31, 2025 12:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu kali na la kumjutisha adui
Dec 31, 2025 11:29Rais wa Iran amesisitiza kwamba, jibu la Jamhuri ya Kiislamu kwa uchokozi wowote litakuwa kali na litamfanya adui ajute.
-
Maandamano ya kuilaani Israel kwa 'kuitambua Somaliland' yaenea kote Somalia
Dec 31, 2025 02:26Maelfu ya wananchi wa Somalia wameendelea kumiminika mabarabarani katika miji mbali mbali ya nchi hiyo, kupinga na kulaani uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kulitambua eneo la Somaliland la kaskazini mwa nchi kama taifa huru.
-
Somaliland katika kitovu cha kuzingatiwa kijiopilitiki; Je Israel inataka kutia mguu katika Lango Bahari la Bab al-Mandab?
Dec 31, 2025 02:23Mataifa na asasi mbalimbali za Kiafrika, Kiarabu na Kiislamu zimepinga vikali hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland', ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili, hatua ambayo imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa.
-
Chuo Kikuu cha Georgetown, US chamfukuza Ripota wa UN aliyeanika jinai za Gaza
Dec 30, 2025 02:45Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema hatua ya Chuo Kikuu cha Georgetown cha Marekani ya kukata uhusiano naye ni sehemu ya vikwazo alivyowekewa na Washington kwa kufichua mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza, na ushiriki wa Marekani katika jinai hizo.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria
Dec 28, 2025 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika kitongoji cha Wadi al Dhahab katika mkoa wa Homs , Syria na kuuwa shahidi watu 5 na kujeruhi wengine 21.