-
Jeshi la Mali 'lawasamehe' askari 49 wa Ivory Coast
Jan 07, 2023 06:26Kiongozi wa kijeshi nchini Mali ametangaza habari ya kuwapa msamaha makumi ya wanajeshi wa Ivory Coast waliokamatwa nchini humo mwezi Julai mwaka uliomalizika 2022, wakituhumiwa kuwa mamluki.
-
Mali yawahukumu wanajeshi wa Ivory Coast miaka 20 jela
Jan 01, 2023 04:04Mahakama moja huko Bamako, mji mkuu wa Mali imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela makumi ya wanajeshi wa Ivory Coast baada ya kuwapata na hatia ya 'kuhujumu' usalama wa taifa hilo jirani yake.
-
Ivory Coast imewahukumu watu 11 kifungo cha maisha jela kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi mwaka 2016
Dec 28, 2022 23:21Mahakama nchini Ivory Coast imewahukumu watu 11 kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika katika shambulio la kigaidi katika mji wa pwani wa Grand Bassam nchini humo mwezi Machi 2016.
-
Ivory Coast yataka kufanyika mkutano wa ECOWAS kujadili mzozo wa kidiplomasia na Mali
Sep 15, 2022 03:43Ivory Coast imeituhumu Mali kwa kuidai fidia na kuamiliana na wanajeshi wake 46 kama wahalifu baada ya kutiwa nguvuni na serikali ya Bamako. Serikali ya Ivory Coast imewaomba viongozi wa jumuiya ya Ecowas kujadili hali hiyo ya mgogoro kati yake na Bamako haraka iwezekanavyo.
-
Kiongozi wa Mali ataka 'fidia' ili kuwaachia askari wa Ivory Coast
Sep 11, 2022 07:30Rais wa mpito wa Mali amesema anataka suluhu yenye maslahi ya pande mbili ili kuhitimisha mkwaruzano wa kidiplomasia baina ya nchi hiyo na Ivory Coast.
-
Mali yawaachia askari watatu wa Ivory Coast, 46 wangali wako kizuizini
Sep 04, 2022 06:07Mali imewaachia huru askari watatu wanawake kati ya askari 49 wa Ivory Cooast waliokamatwa na kuwekwa kizuizini nchini humo.
-
Mali: Wanajeshi wa Ivory Coast waliotuhumiwa kuwa 'mamluki' wameshtakiwa na kufungwa
Aug 15, 2022 22:13Duru za mahakama nchini Mali zimeripoti kuwa, wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliozuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja katika mji mkuu Bamako, wakishutumiwa na jeshi lililoko madarakani nchini Mali kwa kuwa "mamluki", madai ambayo serikali ya Abidjan inakanusha, wameshtakiwa kwa "kujaribu kuhatarisha usalama wa taifa" na kuhukumiwa kifungo jela.
-
Rais wa Ivory Coast atoa msamaha kwa mtangulizi wake, Laurent Gbagbo
Aug 07, 2022 08:06Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametoa msamaha kwa mtangulizi wake, mshindani wake mkuu na hasimu wake wa muda mrefu Laurent Gbagbo, ikiwa ni sehemu ya kuleta maridhiano nchini kuelekea uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika 2025.
-
Jumapili, Agosti 7, 2022
Aug 06, 2022 21:53Leo ni Tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Agosti mwaka 2022 Milaadia.
-
Mali yamtimua msemaji wa kikosi cha UN nchini humo, MINUSMA
Jul 21, 2022 06:31Mali imemfukuza msemaji wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini humo (MINUSMA), huku uhusiano baina ya Bamako na UN ukizidi kuharibika.