-
Ivory Coast yaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi 49 waliokamatwa Bamako
Jul 13, 2022 22:47Ivory Coast imetaka kuachiliwa huru wanajeshi wake 49 waliokamatwa nchini Mali, tukio ambalo huenda likazidisha mvutano kati ya watawala wa kijeshi wa Mali na mataifa mengine ya Magharibi mwa Afrika huku kukiwa na juhudi za kuzima harakati za makundi yenye silaha yenye uhusiano na al-Qaida na Daesh (ISIS) na kurejesha utawala wa kidemokrasia nchini humo.
-
Kodivaa; mwenyeji wa mkutano wa COP15 wa kuzuia kuenea majangwa duniani
May 09, 2022 23:56Mkutano wa 15 wa kuzuia kuenea majangwa umeanza shughuli zake huko Abdijan mji mku uwa Kodivaa kwa kuhudhuriwa na viongozi wa nchi mbalimbali za Kiafrika na wa nchi nyingine duniani.
-
Watu 11 waugua homa ya Dengi (Dengue) Kodivaa
May 04, 2022 03:39Wizara ya Afya ya Kodivaa imetangaza kuwa, kesi 11 za homa ya Dengue zimeripotiwa nchini humo; akthari zikiwa Abidjan mji mkuu wa zamani wa nchi hiyo.
-
Ivory Coast yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola katika miaka 25
Aug 15, 2021 08:58Waziri wa Afya wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi hiyo imesajili kisa cha kwanza cha virusi vya kutokwa na damu vya Ebola ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 25.
-
Jumamosi, 7 Agosti, 2021
Aug 06, 2021 20:37Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1442 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 7 Agosti 2021 Miladia.
-
ICC yabatilisha waranti wa kukamatwa mke wa aliyekuwa rais wa Kodivaa
Jul 30, 2021 08:11Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetupilia mbali waranti wa kukamatwa Simone Gbagbo, mke wa Laurent Gbagbo, rais wa zamani wa Ivory Coast.
-
Mahasimu wakuu wa kisiasa Ivory Coast Rais Ouattara na Laurent Gbagbo wakutana
Jul 27, 2021 10:32Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast leo alitazamiwa kukutana na kuzungumza na mtangulizi wake Laurent Gbagbo, ikiwa ni mara ya kwanza tangu vikosi vya wapiganaji watiifu kwao vilipopambana katika mapigano makubwa ya umwagaji damu yaliyosababishwa na mgogoro wa baada ya uchaguzi miaka 10 iliyopita.
-
Wanne wauawa katika shambulio dhidi ya ngome za vikosi vya ulinzi na usalama vya Ivory Coast
Mar 29, 2021 22:05Watu wanne wameuawa katika shambulio dhidi ya ngome za vikosi vya ulinzi na usalama vya Ivory Coast.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko afariki kwa saratini akiwa na umri wa miaka 56
Mar 11, 2021 03:48Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko amefariki dunia kwa maradhi ya saratani katika hospitali moja mjini Freiburg nchini Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.
-
Kinara wa upinzani Ivory Coast akamatwa kwa kuunda serikali hasimu
Nov 07, 2020 08:17Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Ivory Coast, Pascal Affi N’Guessan amekamatwa na vyombo vya usalama nchini humo kwa kuunda serikali hasimu, siku chache baada ya Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) kumtangaza Rais Alassane Ouattara kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 31.