-
Waivory Coast wanachagua rais leo, hali inatajwa kuwa tete
Oct 31, 2020 11:59Mamilioni ya wananchi wa Ivory Coast wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura hii leo Jumamosi katika uchaguzi wa rais huku kukiwepo wasiwasi wa kutokea ghasia na machafuko makubwa baada ya kambi ya upinzani kutoa wito wa kususiwa uchaguzi huo.
-
Wapinzani Ivory Coast waitisha uasi wa kijamii kipinga muhula wa tatu wa Ouattara
Sep 21, 2020 11:18Wapinza wa serikali ya Ivory Coast wametoa wito wa kufanyika uasi wa kijamii kote nchini humo wakipinga azma ya rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara ya kugombea tena kiti hicho kwsa muhula wa tatu.
-
Baraza la Katiba Ivory Coast lamuidhinisha Outtara kugombea muhula wa 3 wa urais
Sep 15, 2020 03:35Baraza la Katiba la Ivory Coast limemuidhinisha Rais Alassane Outtara kugombea muhula wa tatu wa urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao.
-
Wapinzani waendelea kupinga Ouattara kugombea tena urais Ivory Coast
Sep 09, 2020 11:41Wapinzani nchini Kodivaa wamendelea kupinga na kulalamikia hatua ya Rais Alassane Outtara ya kuamua kugombea tena urais nchini humo.
-
Watu wawili wauawa Ivory Coast baada Ouatarra kutangaza kugombea tena urais
Aug 24, 2020 07:15Watu wawili wameuwawa katika machafuko ya kikabila nchini Ivory Coast baada ya rais Alassane Ouattara kutangaza kwamba atawania muhula wa tatu madarakani.
-
Alassane Ouattara kugombea kiti cha urais Kodivaa kwa mara ya tatu
Aug 24, 2020 02:31Mkutano wa kumuarifisha Alassane Ouattara kama mgombea wa kiti cha rais katika uchaguzi ujao nchini Ivory Coast umefanyika katika mji wa nchi hiyo, Abdijan.
-
Wapinzani Ivory Coast waendelea kupinga “muhula wa tatu” urais cha Ouattara
Aug 15, 2020 10:04Makundi na vyama vya upinzani nchini Ivory Coast vimeendelea kupinga vikali uamuzi wa rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara wa kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu mfululizo.
-
Upinzani Ivory Coast: Muhula wa tatu wa urais wa Ouattara utaibua machafuko nchini
Aug 08, 2020 04:24Uamuzi wa Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast wa kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu unakiuka katiba na utasababisha machafuko katika nchi hiyo ambayo bado inajikwamua kutoka kwenye vita vya ndani. Hayo yalielezwa jana Ijumaa na mrengo wa upinzani.
-
Ijumaa tarehe 7 Agosti mwaka 2020
Aug 07, 2020 02:30Leo ni Ijumaa tarehe 17 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 07 mwaka 2020.
-
Ouattara ateuliwa na chama chake kuwani tena urais Ivory Coast
Jul 30, 2020 10:49Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ameteuliwa tena na chama chake kuwania urais kwa muhula wa tatu ingawa binafsi hajachukua uamuzi kuhusu jambo hilo.