-
Ijumaa tarehe 7 Agosti mwaka 2020
Aug 06, 2020 22:00Leo ni Ijumaa tarehe 17 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 07 mwaka 2020.
-
Ouattara ateuliwa na chama chake kuwani tena urais Ivory Coast
Jul 30, 2020 06:19Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ameteuliwa tena na chama chake kuwania urais kwa muhula wa tatu ingawa binafsi hajachukua uamuzi kuhusu jambo hilo.
-
Ivory Coast yamtia nguvuni kiongozi wa kundi lililofanya shambulizi la tarehe 10 Juni
Jun 22, 2020 21:59Ivory Coast imetangaza kuwa imemtia nguvuni mkuu wa kundi la makomando waliofanya shambulio la Juni 10 ambalo liliwauwa askari wasiopungua 10 kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu wasiopungua 13 wafariki dunia katika maporomoko ya udongo Ivory Coast
Jun 19, 2020 07:37Watu wasiopungua 13 wamefariki dunia na wengine wengi hawajulikani waliko kufuatia tukio la maporomoko ya udongo huko Anyama, katika moja ya viunga vya kaskazini mwa mji wa Abidjan, nchini Ivory Coast.
-
Shambulizi la kigaidi laua wanajeshi 10 wa Ivory Coast
Jun 11, 2020 22:03Kwa akali askari 10 wa Jeshi la Ivory Coast wameuawa katika shambulizi la genge moja la wanamgambo katika mpaka wa nchi hiyo na Burkina Faso.
-
Kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Jenerali Soleimani chafanyika Kodivaa
Jan 14, 2020 09:40Waislamu wa Ivory Coast wamefanya kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na mashahidi wenzake waliouawa hivi karibuni na askari magaidi wa Marekani nchini Iraq.
-
Kiongozi wa zamani wa waasi Ivory Coast atuhumiwa kwa njama ya mapinduzi
Dec 27, 2019 03:51Mwendesha Mashtaka wa serikali ya Ivory Coast amemtuhumu Guillaume Soro kiongozi wa zamani wa waasi nchini humo kwa kupanga njama ya mapinduzi; kitendo ambacho huenda kikampelekea mwanasiasa huyo kupigwa marufuku kugombea kiti cha urais mwakani.
-
Rais wa Ivory Coast: Nitagombea tena urais kwa muhula wa tatu ikiwa marais wa zamani pia watawania
Dec 01, 2019 09:31Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema, atawania tena urais kwa muhula wa tatu mfululizo endapo watangulizi wake pia wataamua kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huo utakaofanyika mwakani, na ambao unatajwa kama kipimo muhimu cha kutathmini uthabiti wa nchi hiyo baada ya kukumbwa na vita vya ndani mara mbili katika karne hii ya 21.
-
Rais wa Ivory Coast atoa mwito kwa wadau wa sekta ya uchumi Iran kuwekeza nchini humo
Nov 15, 2019 23:15Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametoa mwito kwa wadau wa sekta ya uchumi ya Iran kwenda kuwekeza nchini humo katika nyanja mbali mbali.
-
Rais wa Kodivaa (78): Nina hamu ya kukabidhi madaraka kwa vijana
Sep 29, 2019 23:07Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema ana hamu kubwa ya kukabidhi madaraka kwa kizazi cha sasa cha vijana katika uchaguzi wa rais wa mwakani.