-
Jumatano 07 Agosti, 2019
Aug 07, 2019 01:16Leo ni Jumatano tarehe 5 Mfunguo Tatu, Dhulhija 1440 Hijria sawa na tarehe 7 Agosti mwaka 2019.
-
51 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila katikati mwa Kodivaa
May 17, 2019 13:36Polisi ya Kodivaa (Ivory Coast) imeripoti kuwa watu 51 wameuawa na kujeruhiwa katikamapigano ya kikabila katikati mwa nchi hiyo.
-
Kodivaa kuongeza idadi ya askari wake wa kulinda amani nchini Mali
Apr 27, 2019 07:42Rais wa Ivory Coast ametangaza kuwa nchi yake itatuma mamia ya askari zaidi kwenda kujiunga na Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA).
-
ICC yamwachia huru rais wa zamani wa Kodivaa baada ya vuta nikuvute
Feb 02, 2019 12:44Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo baada ya vuta nikuvute kati ya mawakili wa mwanasiasa huyo na Waendesha Mashitaka wa ICC.
-
ICC kumuachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast kwa sharti
Feb 01, 2019 13:36Waendesha Mashitaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wamekubali ombi la kuachiwa huru rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo lakini kwa sharti kwamba asirejee katika nchi yake.
-
ICC yamuachiliwa huru rais wa zamani wa Kodivaa Laurent Gbagbo
Jan 15, 2019 14:33Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imemuondoa hatiani na kumuachilia huru rais wa zamani wa Kodivaa Laurent Gbabgo ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za kuhusika katika ghasia za baada ya uchaguzi katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Majaji wa mahakama ya ICC wasikiliza kesi ya Gbagbo
Oct 01, 2018 14:52Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) leo wamesikiliza matakwa ya Rais wa zamani wa Ivory Coast anayekabiliwa na kesi ya kufanya jinai dhidi ya binadamu ambaye ametaka kesi hiyo ifungwe kutokana na kukosekana ushahidi dhidi yake.
-
Serikali na wapinzani nchini Ivory Coast wazidi kuvutana kuhusu uchaguzi
Sep 19, 2018 14:36Mivutano baina ya serikali ya Ivory Coast na wapinzani wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kuhusiana na marekebisho katika Kamisheni Huru ya Uchaguzi imezidi kuongezeka.
-
Rais wa Ivory Coast atoa msamaha kwa wafungwa 800 wa kisiasa
Aug 07, 2018 14:35Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast ametangaza msamaha kwa wafungwa wapatao 800 wa kisiasa ikiwa imesalia miaka miwili kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi.
-
Jumanne, Agosti 7, 2018
Aug 07, 2018 02:18Leo ni Jumanne tarehe 24 Mfunguo Pili Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Agosti 07 mwaka 2018 Milaadia.