Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ivory Coast

  • Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Ivory Coast kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Jul 10, 2018 07:06

    Balozi wa Iran nchini Ivory Coast amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi hususan katika nyuga za diplomasia na siasa.

  • 18 wafariki dunia katika mafuriko Ivory Coast

    18 wafariki dunia katika mafuriko Ivory Coast

    Jun 20, 2018 16:33

    Watu 18 wamefariki dunia katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan katika mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali.

  • Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao

    Mabunge ya Iran na Kodivaa kuimarisha uhusiano baina yao

    Jun 09, 2018 17:10

    Balozi wa Iran nchini Ivory Coast ameonana na Spika wa Bunge la Senate la nchi hiyo na kujadiliana naye njia za kuimarishwa uhusiano baina ya mabunge ya nchi hizi mbili.

  • Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu

    Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu

    Jun 05, 2018 03:07

    Muungano wa upinzani nchini Ivory Coast umesema hautaruhusu mpango wowote wa kumruhusu Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo kugombea muhula wa tatu.

  • Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yafanyika Ivory Coast

    Maadhimisho ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yafanyika Ivory Coast

    Feb 14, 2018 02:54

    Sherehe zilizofana za kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran zimefanyika katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.

  • Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Sisitizo la Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco la kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya amani matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 17, 2018 14:53

    Wawakilishi wa nchi za Kiafrika za Sudan, Kodivaa, Gambia na Morocco wamesisitiza katika Mkutano wa 13 wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Nchi za Kiislamu (OIC) kupatiwa ufumbuzi matatizo yanayoukabili Ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana pia na utawala ghasibu za Kizayuni.

  • Askari wa Côte d’Ivoire waendeleza uasi licha ya mkuu wa jeshi kuwaomba radhi

    Askari wa Côte d’Ivoire waendeleza uasi licha ya mkuu wa jeshi kuwaomba radhi

    Jan 12, 2018 04:49

    Askari wa Côte d’Ivoire wameendeleza ghasia licha ya mkuu wa majeshi ya nchi hiyo kuwaomba radhi.

  • Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali

    Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali

    Jan 05, 2018 08:01

    Mkuu wa majeshi ya Ivory Coast ametangaza utayari wa jeshi hilo wa kushirikiana na serikali ya nchi hiyo.

  • Mahakama ya ICC yakataa kumwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast

    Mahakama ya ICC yakataa kumwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast

    Sep 28, 2017 03:04

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imekataa wito wa kumwachia huru rais wa zamani wa Ivory Coast.

  • Wafungwa karibu mia moja watoroka jela Ivory Coast

    Wafungwa karibu mia moja watoroka jela Ivory Coast

    Sep 04, 2017 06:05

    Wafungwa wapatao mia moja wameripotiwa kutoroka jela nchini Ivory Coast.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS