-
Jumatatu 07 Agosti, 2017
Aug 06, 2017 23:11Leo ni Jumatatu tarehe 14 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Agosti 2017.
-
Mabadiliko ya ghafla ya mawaziri nchini Kodivaa
Jul 20, 2017 03:17Rais Alassane Ouattara wa ivory coast amefanya mabadiliko ya ghafla katika baraza lake la mawaziri.
-
Ivory Coast na changamoto ya usalama kabla ya michezo ya Francophone
Jul 19, 2017 23:11Maeneo mbalimbali ya Ivory Coast yameendelea kusumbuliwa na machafuko na hali ya ukosefu wa amani siku moja tu kabla ya kuanza mashindano ya michezo ya nchi wanachama katika jumuiya ya nchi zinazozungumza Kifaransa, Francophone.
-
Wanajeshi watatu wauawa katika uasi jeshini Ivory Coast
Jul 16, 2017 02:25Wanajeshi watatu wameuawa katika uasi mpya ulioibuka katika jeshi la Ivory Coast.
-
Saudia yashindwa kuishawishi OIC kutoa azimio dhidi ya Iran
Jul 14, 2017 22:03Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kisiasa na Usalama wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, pendekezo la Saudia la kuingizwa kipengee cha kuilaani Iran katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC limetupiliwa mbali na wajumbe wa kikao hicho.
-
Sisitizo la Ufaransa na Ivory Coast la kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 12, 2017 06:23Marais Alassane Ouattara wa Ivory Coast na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesisitiza katika mazungumzo yao ya kwanza tangu Rais huyo mpya wa Ufaransa aliposhika hatamu za uongozi juu ya umuhimu wa kuimarisishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kiusalama.
-
Kuendelea vurugu na mivutano nchini Ivory Coast
May 16, 2017 08:21Sambamba na kuendelea mapigano na vitisho vya wanajeshi waasi katika miji kadhaa nchini Ivory Coast, shughuli za benki, shule na vituo vya biashara zimesitishwa katika miji kadhaa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Hatimaye serikali ya Côte d’Ivoire yakubaliana na askari waasi
May 16, 2017 03:53Viongozi wa serikali ya Côte d’Ivoire wametangaza kufikiwa makubaliano na askari waasi wa nchi hiyo.
-
Baraza la Usalama wa Taifa Ivory Coast laitisha kikao cha dharura kufuatia uasi wa wanajeshi
May 12, 2017 22:02Baraza la Usalama wa Taifa la Ivory Coast limefanya kikao cha dharura kufuatia kushadidi fujo zilizosababishwa na uasi wa wanajeshi.
-
Ivory Coast yaiomba Iran iisaidie kuimarisha sekta ya uchukuzi
May 09, 2017 09:52Waziri wa Uchukuzi wa Ivory Coast, Amadou Kone ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iisaidie nchi hiyo ya Kiafrika kuboresha mfumo wake wa uchukuzi wa umma.