-
Ban Ki-moon atembelea kambi ya wakimbizi Goma, DRC
Feb 24, 2016 04:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon baada ya kutoka Burundi ameelekea Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo ametembelea kambi ya wakimbizi.
-
Mamia ya wakimbizi DRC wanahitajia misaada ya dharura
Feb 21, 2016 12:32Zaidi ya wakimbizi elfu moja wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanahitajia misaada ya haraka ya dharura.