-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani haiwezi kurejea kwenye mapatano ya JCPOA bila ya kuondoa vikwazo
Dec 07, 2021 04:30Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, hakuna njia yoyote ya kuiwezesha Marekani kurejea katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kuondoa vikwao vyake vya kidhalimu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Amir-Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu inataka kutekelezwa mapatano ya JCPOA
Dec 06, 2021 23:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari na mwenzake wa Syria kwamba, Iran haitaki lolote katika mazungumzo ya Vienna ghairi ya kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran: Hatutalegeza kamba katika kushinikiza kuondolewa vikwazo haramu
Dec 05, 2021 11:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitolegeza kamba katika mazungumzo ya Vienna, Austria na itaendelea kushinikiza kuondolewa vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria vya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Kuunga mkono kundi la 4+1 kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Nov 30, 2021 23:10Sambamba na kuanza duru ya saba ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 huko Vienna Austria, kumeongezeka himaya na uungaji kwa takwa la haki na la kisheria la Iran la kuondolewa vikwazo vya upande mmoja ilivyowekewa kidhalimu na Marekani.
-
Mazungumzo ya Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA yameanza leo Vienna Austria
Nov 29, 2021 12:01Duru mpya ya mazungumzo ya Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia JCPOA imeanza leo katika mji mkuu wa Austria Vienna.
-
Mazungumzo ya Vienna, changamoto na matarajio
Nov 29, 2021 08:32Leo Novemba 29 mji mkuu wa Austria, Vienna ni mwenyeji wa mazungumzo baina ya Iran na nchi za kundi la 4+1 kuhusu kuondolewea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran. Nchi za 4+1 ni China Russia, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya
-
Muhammad Islami: Waliojitoa JCPOA hawana haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran
Nov 27, 2021 04:33Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, waliojitoa katika makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA hawana haki ya kuzungumzia na kueleza mitazamo yao kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Tehran.
-
Iran haitaki makubaliano ya muda, yataka vikwazo viondolewe kwa mkupuo
Nov 27, 2021 01:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikwazo vyote haramu vya Marekani dhidi ya taifa la Iran vinapaswa kuondolewa kwa mkupuo, na kwamba Tehran katu haitakubali 'makubaliano ya muda' kwenye mazungumzo ya Vienna ya kujadili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, yanayoanza ndani ya siku chache zijazo.
-
Jumatano, Novemba 24, 2021
Nov 23, 2021 22:57Leo ni Jumatano tarehe 18 Mfunguo Saba Rabiuthani 1443 Hijria sawa na Novemba 24 mwaka 2021 Milaadia.
-
Iran: Marekani haina chaguo jingine isipokuwa kukubali uhalisia wa mambo
Nov 23, 2021 04:03Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye anaongoza timu ya mazungumzo ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1 yatakayoanza Novemba 29 huko Vienna amesema kuwa, Marekani sharti ikubali hali halisi ya mambo kwa kufungamana na ahadi ilizotoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.