-
Russia yaitaka IAEA kutoa dhamana ya utekelezaji wa JCPOA
Sep 13, 2018 02:52Russia imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) itoe dhamani ya utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran
Sep 11, 2018 03:02Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani inatekeleza sera zake dhidi ya Iran kwa kutumia mabavu, ubabe na vitisho.
-
John Kerry: Trump amethibitisha kivitendo maneno ya wapinzani wa JCPOA ndani ya Iran
Sep 10, 2018 02:57Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani kwa mara nyingine tena amekosoa misimamo ya serikali ya rais wa hivi sasa wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Iran na kuionya Ikulu ya nchi hiyo White House kuhusu matokeo mabaya ya siasa hizo.
-
Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA
Sep 09, 2018 11:33Mkurugenzi wa Sera za Kuzuia Silaha za Maangamizi katika Shirika la Kudhibiti Silaha la Marekani amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamuweke kiti moto Rais Donald Trump wa Marekani wakati atakapohudhuria kikao cha baraza hilo.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 03, 2018 22:04Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.
-
Larijani: Iran ina shaka na uwezo wa Ulaya wa kutekeleza ahadi zake kuhusu kadhia ya nyuklia
Sep 01, 2018 09:36Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, licha ya Iran kuwa na shaka kubwa juu ya uwezo wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na namna ya uchukuaji wao wa maamuzi lakini imekubali kutengwa muda maalumu wa mazungumzo kuhusu kadhia ya nyuklia ili kuweza kupima uwezo wao na fikra zao za kisiasa kwa ajili ya kutatua suala hilo.
-
Kwa mara nyingine Ujerumani yaihimiza Ulaya kuitenga Marekani katika mfumo wa fedha
Sep 01, 2018 02:53Kwa mara nyingine tena, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumiani amezihimiza nchi za Ulaya kutafuta njia za kuwa na mfumo wao wa kujitegemea wa kifedha kama njia ya kudumisha mapatano ya nyuklia na Iran yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.
-
IAEA yathibitisha kwa mara ya 12 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya JCPOA
Aug 30, 2018 23:23Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna, Austria amesema kuwa, kwa mara ya 12 mtawalia, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umethibitisha kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rouhani: Wanachama wa JCPOA wanapaswa kutekeleza haraka mipango yao ya kulinda makubaliano hayo
Aug 27, 2018 10:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ufaransa na kusema kuwa, kwa kutilia maanani hatua ya Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, nchi nyingine wanachama katika mapatano hayo zinapaswa kutekeleza mipango yao haraka na kwa uwazi kwa ajili ya kulinda makubaliano hayo.
-
Zarif: Viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia
Aug 26, 2018 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia huku wakifanya juhudi za kuzidisha mashinikizo ya kisaikolojia dhidi ya Wairani na washirika wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.