-
Utawala wa Aal Khalifa umewatesa na kuwasotesha jela mamia ya watoto Bahrain
Sep 28, 2021 02:26Vyombo vya habari vimefichua kuwa utawala wa Aal Khalifa umetesa mamia ya watoto nchini Bahrain ili kuwalazimisha wakiri makosa katika jela za utawala huo wa kiimla.
-
Kukimbia mateka wa Kipalestina, pigo kwa usalama wa utawala wa Kizayuni
Sep 10, 2021 02:46Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa kukimbia mateka 6 wa Kipalestina ni pigo kubwa kwa usalama wa utawala huo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Mali akamatwa kwa madai ya ufisadi
Aug 27, 2021 07:55Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Boubeye Maiga ametiwa mbaroni na maafisa usalama wa nchi hiyo, akituhumiwa kuhusika na ufisadi mkubwa wa kifedha.
-
Wapalestina 4,500 wanashikiliwa katika korokoro za utawala ghasibu wa Israel
Apr 16, 2021 12:04Jumuiya ya Mateka wa Kipalestina imetangaza kuwa, Wapalestina 4,500 wakiwemo wanawake 41 na watoto 140 wanaendelea kushikiliwa katika mahabusu za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Watoto 170 wa Palestina wamefungwa jela huko Israel mwaka 2020
Jan 01, 2021 13:21Kamati ya Masuala ya Matekani wa Palestina imetangaza kuwa, watoto 170 wa Kipalestina walifungwa katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka 2020.
-
Makumi ya wafungwa watoroka jela nchini Uganda
Sep 17, 2020 08:10Makumi ya wafungwa wametoroka jela katika wilaya ya Moroto, kaskazini mashariki mwa Uganda na kukimbilia kusikojulikana.
-
Hali mbaya ya mfungwa wa kisiasa katika jela ya utawala wa Saudia
Apr 15, 2020 11:29Hali mbaya ya jela za Saudi Arabia imepelekea kuzorota kwa afya ya mmoja wa wafungwa wa kisiasa na kumpelekea ahamishiwe hospitalini.
-
Al-Wifaq: Ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaendelea kufanyika katika magereza ya Bahrain
Dec 18, 2019 08:02Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain imetangaza katika ripoti yake kwamba, utawala wa kifamilia wa nchi hiyo wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka pakubwa haki za wafungwa katika magereza ya nchi hiyo.
-
Le Monde lafichua: Imarati ina jela 18 za siri ndani ya ardhi ya Yemen
Nov 10, 2019 02:45Gazeti la Le Monde linalochapishwa nchini Ufaransa limefichua kuwa, Imarati ina jela zisizopungua 18 ndani ya ardhi ya Yemen.
-
The Guardian: Ahadi aliyotoa Boris Johnson ya kujenga jela elfu kumi ni ya kuaibisha
Aug 14, 2019 02:33Gazeti la The Guardian limeandika kuwa, ahadi aliyotoa waziri mkuu mpya wa Uingereza Boris Johnson ya kujenga jela elfu kumi nchini humo kwa anuani ya kuzima na kukandamiza vikali jinai na uhalifu ni ya kuaibisha.