-
Zaidi ya raia elfu moja wa nchi za kigeni wapo katika jela za Saudi Arabia
Jul 19, 2019 02:32Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imetangaza kuwa raia wa nchi za nje zaidi ya elfu moja na hamsini wamefungwa katika jela za nchi hiyo kwa tuhuma zinazohusiana na masuala ya kiusalama.
-
Mwanamke mwenye saratani afia gerezani Imarati licha ya indhari ya UN
May 05, 2019 14:19Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa, mwanamke aliyekuwa anaugua ugonjwa wa saratani amepoteza maisha akiwa gerezani katika Umoja wa Falme za Kiarabu, miezi miwili baada ya Umoja wa Mataifa kutoa mwito wa kuachiwa huru mwanamke huyo kwa misingi ya kwenda kupatiwa matibabu.
-
Aliyekuwa msaidizi wa Papa Francis afungwa kwa kulawiti watoto
Mar 13, 2019 07:47Mahakama moja nchini Australia imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, aliyekuwa Mkuu wa Hazina ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani Vatican, Kadinali George Pell.
-
Wanawake 9 na viongozi wa upinzani wasukumwa jela Sudan
Mar 11, 2019 02:39Naibu Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Umma na binti ya kinara wa chama hicho ni miongoni mwa wanawake tisa wa upinzani waliohukumiwa kifungo jela kwa tuhuma za kukiuka sheria ya hali ya hatari nchini Sudan.
-
Mahakama ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain yaidhinisha adhabu kali dhidi ya raia kadhaa
Mar 05, 2019 07:59Mahakama ya rufaa ya Bahrain imeidhinisha hukumu ya kifungo cha maisha jela na adhabu nyingine za vifungo vya muda mrefu kwa raia kadhaa wa nchi hiyo.
-
Hali ya haki za binadamu Bahrain ni mbaya sana
Feb 13, 2019 02:32Kamati ya Kimatiafa ya Haki za Binadamu Eneo la Asia Magharibi imesema hali ya haki za binadamu inazidi kuwa mbaya nchini Bahrain ambapo ukoo wa Aal Khalifa ambao unatawala nchi hiyo umehusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
-
EU, Amnesty zaikosoa Bahrain kwa kumfunga maisha jela Sheikh Salman
Jan 29, 2019 14:04Umoja wa Ulaya umekosoa vikali hatua ya Mahakama ya Juu ya Bahrain ya kuidhinisha kifungo cha maisha jela dhidi ya shakshia mashuhuri wa kidini na kisiasa nchini humo, Sheikh Ali Salman.
-
Saudi Arabia; kituo cha wafungwa wa kiusalama katika ulimwengu wa Kiarabu
Jan 13, 2019 07:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imetangaza kuwa nchi hiyo ina wafungwa wa kiusalama zaidi ya 5,400.
-
Mwanaharakati mwanamke aliyetoroka Saudia afichua utesaji unaofanywa kwenye jela za utawala wa Aal Saud
Dec 29, 2018 16:09Mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Aal Saud aliyetoroka Saudi Arabia na kuomba hifadhi ya ukimbizi nchini Uholanzi amefichua kuwa, maafisa wa utawala huo walimtesa, wakamtusi na kumweka kwenye mashinikizo ya kinafsi.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan apelekwa jela huku wafuasi wake wakipambana na askari usalama
Dec 26, 2018 02:39Sambamba na Muhammad Nawaz Sharif, Waziri Mkuu aliyeuzuliwa wa Pakistan kupelekwa jela ya mji wa Lahore, wafuasi wake wamepambana na askari polisi na vikosi vya usalama katika mji mkuu wa nchi hiyo, Islamabad.