-
Maonyesho ya jinai za Saudia nchini Yemen
Apr 07, 2016 23:26Wananchi wa mji mkuu wa Yemen, Sana'a wamefanya maonyesho ya picha, michoro na mabango yanayoakisi jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa kifalme wa Saudi Arabia dhidi ya raia wa Yemen
-
Saudia yadondosha mabomu sokoni Yemen
Feb 27, 2016 22:57Ndege za kivita za Saudi Arabia Jumamosi zilidondosha mabomu katika soko moja lenye idadi kubwa ya watu katika mkoa wa Sana'a nchini Yemen.