-
MSF: Kufunga kivuko cha Rafah kutaifanya hali ya Gaza kuwa mbaya zaidi
May 09, 2024 07:21Mkuu wa timu ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ametahadharisha kuwa mazingira ya kuidhaminia Gaza maji safi, chakula na dawa za matibabu yamefika marhala hatari na kwamba hatua ya kukifunga kivuko cha Rafah kunaifanya hali ya wakazi wa ukanda huo kuwa mbaya zaidi.
-
Kukosolewa propaganda za Marekani kuhusiana na misaada ya kibinadamu
Mar 10, 2024 11:20Akihutubia bunge la Marekani siku ya Alkhamisi, Rais Joe Biden alisema ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuweka bandari kwenye pwani ya Gaza katika Bahari ya Mediterania.
-
MSF yaonya kuhusu kukatwa viungo maelfu ya watoto katika mashambulizi ya Israel huko Gaza
Jan 09, 2024 07:51Mwanachama wa Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ameonya kwamba vita katika Ukanda wa Gaza vimesababisha kukatwa viungo maelfu ya watoto wa Kipalestina na kuwasababishia ulemavu wa kudumu.
-
Kusimamishwa shughuli za Madaktari Wasio na Mipaka huko Al-Jazīrah, Sudan
Dec 31, 2023 07:21Shughuli za Madaktari Wasio na Mipaka zimesitishwa katika Jimbo la Al Jazirah nchini Sudan kutokana na kuendelea kuwa mbaya hali ya usalama katika jimbo hilo.
-
MSF: Gaza inasumbuliwa na uhaba wa dawa na huduma za tiba
May 17, 2021 06:31Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza kuwa, eneo la Ukanda wa Gaza linasumbuliwa na uhaba mkubwa wa dawa kutokana na mashambulizi ya jeshi la utawala wa Israel na mzingiro wa utawala huo dhidi ya eneo hilo.
-
Madaktari wasio na mipaka watahadharisha kuhusu kusambaratika mfumo wa afya na tiba Yemen
Jun 14, 2020 10:32Mkuu wa wahudumu wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) huko Yemen amesema kuwa hali ya kiafya na kitiba katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita imezidi kuwa ya hatari kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) yataka raia wa Yemen waungwe mkono
Aug 14, 2019 07:59Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuwaunga mkono raia wa Yemen mkabala na mashambulio ya anga yanayotekelezwa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Madaktari wasio na mipaka (MSF) wakabiliana na ukosefu wa usalama huko Niger
Aug 11, 2019 03:52Wafanyakazi wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) nchini Niger wamelazimika kuondoka kusini mashariki mwa nchi hiyo kutokana na ukosefu wa usalama.
-
Madaktari Wasio na Mipaka (MSF): Hali ya huduma za afya nchini Yemen ni mbaya
Dec 20, 2018 08:03Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetahadharisha kwamba, hali ya huduma za afya nchini Yemen ni mbaya sana na kwamba, kiujumla mfumo wa huduma za afya katika nchi hiyo umesambaratika kikamilifu.
-
MSF yalaani makubaliano ya viongozi wa Ulaya kuhusu wahajiri
Jun 30, 2018 04:08Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imelaani makubaliano yaliyofikiwa na viongozi wa Ulaya kuhusu sera za jinsi kuamiliana na wahajiri wanaoelekea barani Ulaya.