-
Iran: Nchi za Kiarabu zitafakari matatizo ya Waislamu badala ya uchochezi
Jul 04, 2016 09:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka Jumuiya ya nchi za Kiarabu isitisishe uchochezi dhidi ya Iran na badala yake itafakari matatizo ya umma wa Kiislamu.
-
Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel
Apr 21, 2016 10:52Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuundwa mahakama maalumu ya jinai kwa ajili ya kuwapandisha kizimbani Wazayuni kutokana na hatua yao ya kukiuka haki za Wapalestina.
-
Ombi la NATO la kustawisha ushirikiano na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na (P)GCC
Apr 10, 2016 02:40Naibu Katibu Mkuu wa Shirika la Kijeshi la NATO, Alexander Vershbow ametaka kustawishwa ushrikiano kati ya shirika hilo la kijeshi na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC pamoja na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Aboul Gheit wa Misri ndiye Katibu Mkuu mpya wa Arab League
Mar 11, 2016 04:46Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Misri, Ahmed Aboul Gheit ndiye Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).