Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kikao

  • Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?

    Sep 14, 2025 02:41

    Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.

  • Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia

    Sep 06, 2025 12:02

    Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi

  • Trump akutana na maafisa wa sera za nje na usalama kuhusu mazungumzo na Iran

    Trump akutana na maafisa wa sera za nje na usalama kuhusu mazungumzo na Iran

    Apr 16, 2025 07:41

    Chombo kimoja cha habari cha Marekani kimeripoti kuwa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameitisha mkutano kuhusu mazungumzo yanayoendelea kuhusu makubaliano ya nyuklia na Iran.

  • Waziri wa Algeria atoka nje ya mkutano India kulalamikia kuwepo waziri wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Waziri wa Algeria atoka nje ya mkutano India kulalamikia kuwepo waziri wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 04, 2024 06:05

    Ujumbe wa Algeria, ukiongozwa na Waziri wake wa Biashara Tayeb Zitouni, umetuma salamu za kijasiri na za kivitendo katika Mkutano wa Ushirikiano (Patnership Summit) uliofanyika New Delhi, India kwa kutoka nje ya ukumbi mara baada ya kuwasili waziri wa uchumi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi

    Oct 03, 2024 11:16

    Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili matukio ya Asia Magharibi kufuatia shambulio la makombora lililofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kujibu jinai za Israel kimeambatana na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na mwakilishi wa utawala huo wa Kizayuni ukiungwa mkono na nchi za Magharibi.

  • Boko Haram waua wanakijiji 127, wachoma moto maduka na nyumba kaskazini ya Nigeria

    Boko Haram waua wanakijiji 127, wachoma moto maduka na nyumba kaskazini ya Nigeria

    Sep 04, 2024 02:42

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa ni wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamevamia kijiji cha kaskazini mashariki mwa Nigeria wakiwa na pikipiki na kufyatua risasi sokoni na kuteketeza maduka na nyumba sambamba na kuua watu wapatao 127. Hayo ni kwa mujibu wa Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International na Polisi ya Nigeria.

  • Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Ghaza; makabiliano ya Marekani na Jamii ya Kimataifa

    Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Ghaza; makabiliano ya Marekani na Jamii ya Kimataifa

    Aug 14, 2024 11:15

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa cha kujadili shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Skuli ya Al-Tabeen katika Ukanda wa Ghaza kilifanyika siku ya Jumanne ambapo akthari ya wanachama wa Baraza hilo walilaani jinai ya utawala huo na kusisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa vita mara moja huko Ghaza.

  • Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni

    Jul 28, 2024 02:29

    Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.

  • Tehran, mwenyeji wa Jumuiya ya Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD).

    Tehran, mwenyeji wa Jumuiya ya Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD).

    Jun 26, 2024 02:17

    Kikao cha 19 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia (ACD) kilifanyika Jumatatu hapa mjini Tehran chini ya uenyekiti wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kikao cha Baraza la Usalama: Uwanja wa makabiliano kati ya waungaji mkono wa Iran na Wamagharibi wanaounga mkono utawala wa Kizayuni.

    Kikao cha Baraza la Usalama: Uwanja wa makabiliano kati ya waungaji mkono wa Iran na Wamagharibi wanaounga mkono utawala wa Kizayuni.

    Apr 16, 2024 07:54

    Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kujadili mashambulizi ya Iran ya kuuadhibu utawala wa Israel kilifanyika Jumapili jioni tarehe 14 Aprili, kikao ambacho kilibadilika na kuwa uwanja wa makabiliano kati ya nchi zinazounga mkono Iran na kambi ya Magharibi waitifaki wa utawala wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS