-
Hali tete Kinshasa, Kabila akosa kuhutubia, gwaride la kijeshi lafutwa, wafungwa watoroka
Jun 30, 2017 09:53Hali inaripotiwa kuwa tete huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Rais Kabila kukosa kutoa hotuba yake ya kila mwaka kabla ya leo Juni 30 ambayo ni siku ya uhuru wa nchi hiyo.
-
Hofu ya UN baada ya DRC kusema itafunga mitandao ya kijamii Jumapili usiku
Dec 18, 2016 03:53Umoja wa Mataifa umebainisha wasiwasi wake kufuatia kutangazwa mpango wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kufunga mitandao ya kijamii Jumapili usiku.
-
Wakongomani waandamana kulalamikia kuuliwa raia wa Kongo nchini India
Jul 07, 2016 02:54Hali ya wasiwasi imetawala Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya watu kumiminika mitaani kulalamikia kuuawa raia mmoja wa nchi hiyo huko India.
-
Wafuasi wa upinzani DRC kuandaa maandamano Kinshasa leo
May 25, 2016 22:55Vyombo vya usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeupa idhini muungano wa vyama vya upinzani nchini humo kuandaa maandamano katika mji mkuu Kinshasa hii leo.