Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Jan 18, 2018 10:56

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds Tukufu.

  • Kiongozi Muadhamu:

    Kiongozi Muadhamu: "Ufidhuli mkubwa inaofanya Marekani" kuhusiana na Quds Tukufu hautafika popote

    Jan 16, 2018 13:39

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani imekuwa ikifanya "ufidhuli mkubwa" kuhusu Quds Tukufu na kuongeza kuwa njama zake hizo hazitafika popote.

  • Ayatullah Khamenei atoa mkono wa pole kwa mnasaba wa kufariki dunia wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran

    Ayatullah Khamenei atoa mkono wa pole kwa mnasaba wa kufariki dunia wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran

    Jan 15, 2018 00:25

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa salamu za rambirambi kwa mnasaba wa tukio chungu la kuaga dunia makumi ya wahudumu wa meli ya mafuta ya Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kiendawazimu wa Trump hautapita hivi hivi bila ya kupewa majibu

    Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kiendawazimu wa Trump hautapita hivi hivi bila ya kupewa majibu

    Jan 09, 2018 12:43

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ushahidi na nyaraka za kipelelezi zinaonesha kuwa machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yalipangwa na pande tatu.

  • Kiongozi: Moyo ya kishujaa, kujitolea na imani ni kinga mbele ya uadui wa maadui

    Kiongozi: Moyo ya kishujaa, kujitolea na imani ni kinga mbele ya uadui wa maadui

    Jan 02, 2018 11:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matukio ya hivi karibuni na njama za maadui wanaotaka kutoa pigo kwa Mfumo wa Kiislamu wa Iran na kusema: "kile ambacho kimemzuia adui kutekelelza uadui wake ni kuwepo moyo wa kishujaa, kujitolea na imani katika taifa."

  • Utambulisho Halisi wa Marekani kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Utambulisho Halisi wa Marekani kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Dec 28, 2017 01:15

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei Jumatano asubuhi katika mkutano na maafisa na wanachama wa Baraza la Kuhubiri Uislamu kutoka kote Iran aliashiria njama zisizo na kikomo za Marekani za kuvuruga na kuondoa matumaini katika taifa la Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni

    Kiongozi Muadhamu: Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni

    Dec 27, 2017 12:23

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ndio utawala fisadi na dhalimu zaidi ulimwenguni.

  • Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni

    Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni

    Dec 06, 2017 22:13

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Bila shaka Palestina itakombolewa tu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Bila shaka Palestina itakombolewa tu

    Dec 06, 2017 11:05

    Ayatullah Ali Khamanei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezitaja Marekani na utawala haramu wa Israel kuwa Mafirauni wa zama na dunia ya leo.

  • Kiongozi Muadhamu: Sharti la mafanikio ni kuunganisha sayansi za jamii na misingi ya kidini

    Kiongozi Muadhamu: Sharti la mafanikio ni kuunganisha sayansi za jamii na misingi ya kidini

    Nov 30, 2017 13:03

    Kongamano la Kimataifa la Qur'ani na Sayansi za Jamii (Humanities) limeanza leo katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran kwa kusomwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS