-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Wamarekani wanapaswa kuona aibu kwa kuwa na Rais kama Trump
Sep 21, 2017 11:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amekosoa vikali matamshi ya kipumbavu, kijinga na yaliyojaa urongo yaliyotolewa na Rais wa Marekani katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kusema kuwa: Matamshi hayo hayakutokana na nguvu bali yametokana na ghadhabu, kuchanganyikiwa na akili finyu.
-
Kiongozi Muadhamu: Ufumbuzi wa suala la Myanmar ni nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo
Sep 12, 2017 03:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar na kusisitiza kwamba: Njia ya utatuzi wa kadhia hii ni kuchukuliwa hatua za kivitendo na nchi za Kiislamu na kuishinikiza kisiasa na kiuchumi serikali isiyo na huruma ya Myanmar.
-
Jumatatu 4 Septemba, 2017
Sep 03, 2017 23:49Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Pili Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 4 Septemba 2017
-
Kiongozi Muadhamu: Kulindwa moyo wa kimapinduzi na kidini katika udiplomasia ni jambo la dharura
Aug 26, 2017 11:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumamosi ameonana na Rais Rouhani na baraza lake la mawaziri na kusema kuwa, kulindwa msimamo na muelekeo wa kimapinduzi na kidini katika siasa za kigeni za Iran ni jambo muhimu sana.
-
Ayatullah Shahroudi ateuliwa Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
Aug 14, 2017 10:52Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Ayatullah Sayyid Mahmoud Hashemi Shahroudi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa muhula wa miaka mitano.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi aidhinisha kura za wananchi na kumpasisha Rouhani kuwa Rais wa Iran
Aug 03, 2017 03:51Sherehe ya kuidhinisha kura za wananchi kwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu zimefanyika leo asubuhi katika Husseiniya ya Imamu Khomeini (M.A) hapa Tehran kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kumpasisha Hassan Rouhani kuwa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu alishukuru jeshi la SEPAH, kwa kushambulia maeneo ya magaidi Syria
Jul 05, 2017 23:40Saa moja baada ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH kushambulia kwa makombora maeneo ya magaidi wa kundi la Daesh huko Deir Ezzor nchini Syria, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alikutana na makamanda wa SEPAH na kuwashukuru kutokana na hatua yao hiyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Ni wajibu kwa Umma wa Kiislamu kupambana na Israel
Jun 26, 2017 11:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa, kwa mujibu wa fiqhi ya Kiislamu, Waislamu wote wanawajibika kupambana na kupigana jihadi kwa kutumia njia zote zinazowezekana dhidi ya adui anayevamia na kukalia kwa mabavu ardhi ya Kiislamu; kwa msingi huo hii leo ni wajibu kwa ulimwengu mzima wa Kiislamu kupambana na utawala ghasibu wa Israel.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Wajibu wa kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Jun 26, 2017 09:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo amehutubia Baraza la Iddil Fitri lililowakutanisha pamoja viongozi, matabaka mbalimbali ya wananchi na mabalozi wa nchi za Kiislamu mjini Tehran na akisisitiza kuwa kupuuza na kulisahaulisha suala la Palestina ni hatari kubwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds; nembo ya mapambano dhidi ya uistikari na mabeberu
Jun 22, 2017 09:06Akizungumza hapo siku ya Jumatano alasiri na wahadhiri, wanachama wa majopo ya kielimu, watafiti na wasomi wa vyuo vikuu, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria nafasi muhimu na isiyo na mbadala ya wahadhiri katika malezi ya wanachuo na kuainisha muelekeo wa Iran katika ulimwengu wa leo uliojaa matukio na kusema kuwa Siku ya Kimataifa ya Quds ina umuhimu mkubwa.