-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 29, 2022 03:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
Walinzi wa Mapinduzi: Kituo cha kimkakati cha njama za Wazayuni kimepigwa kwa makombora ya IRGC
Mar 13, 2022 12:29Taarifa ilitotolewa na Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) imetoa habari ya kulengwa kwa makombora kituo cha kistratijia cha njama na uovu cha Wazayuni na kusisitizia kuwa: Kurudiwa kwa uovu wa aina yoyote kutakabiliwa na jibu kali, la pande zotei na haribifu.
-
Sisitizo la viongozi wa Korea Kaskazini kuhusu kuimarisha uwezo wa kijeshi
Jan 13, 2022 09:13Kiongozi wa Korea Kaskazini ametaka uwezo wa kijeshi wa nchi hiyo uzidi kuimarishwa. Vyombo vya habari vya Pyongyang vimetangaza kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili ameshiriki na kusimamia mazoezi ya makombora ambayo yamefanyika kwa mafanikio.
-
Marekani yaingiwa na kiwewe baada ya Pyongyang kuvurumisha kombora la balestiki
Jan 06, 2022 02:49Marekani imeingiwa na kiwewe baada ya jeshi la Korea Kaskazini kuvurumisha baharini kombora jingine la balestiki.
-
Muqawama wa Palestina Gaza wafanyia majaribio kwa mafanikio kombora la Qassem-10
Dec 28, 2021 02:47Kundi la Kataaibul-Muqaawamatil-Wat'aniyyah la Palestina limetangaza kuwa limelifanyia majaribio kwa mafanikio kombora lililotengenezwa na wanamuqawama la "Qassem-10" huko Ukanda wa Gaza.
-
Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku
Nov 04, 2021 12:02Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo mkubwa wa makombora ambao unaiwezesha kuushambulia utawala wa Kizayuni kwa maelfu ya makombora kila siku kama vita baina ya pande hizo mbili vitatokea.
-
Jumapili tarehe 3 Oktoba 2021
Oct 03, 2021 03:07Leo ni Jumapil tarehe 26 Safar 1443 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2021.
-
Wapalestina wa Quds wawashukuru wenzao wa Ghaza kwa kuwapiga wanajeshi Wazayuni kwa makombora
May 11, 2021 07:42Wapalestina wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wamefanya maandamano ya kutangaza kufurahishwa kwao na Wapalestina wenzao wa Ghaza kwa kuguswa na hali yao na kujibu jinai za Wazayuni huko Quds kwa kushambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni.
-
Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona
Apr 22, 2021 11:12Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus.
-
Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen
Mar 10, 2021 07:15Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, makombora ya balestiki ya nchi hiyo ni jinamizi kwa maadui.