-
Ansarullah: Makombora yetu ni jinamizi kwa wavamizi wa Yemen
Mar 10, 2021 07:15Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, makombora ya balestiki ya nchi hiyo ni jinamizi kwa maadui.
-
Iran yazindua kombora jipya la balestiki lifikalo umbali wa kilomita 700 baharini
Sep 27, 2020 13:06Kombora jipya la balestiki la baharini lililoundwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC liitwalo Zulfiqar Basir limezinduliwa leo katika maonyesho ya uwezo wa kistratejia ya vikosi vya anga za mbali vya jeshi hilo.
-
Setilaiti ya Nour; mdhamini wa maslahi ya amani ya Iran katika anga za mbali
Apr 25, 2020 04:03Kurushwa kwa mafanikio katika anga za mbali setilaiti ya Nour-1 kupitia kombora la kurushia setilaiti la Qased, na setilaiti hiyo kuanza kufanya kazi zake huko, ni suala ambalo limekabiliwa na radiamali ya kisiasa na madai ya kukaririwa na yasiyo na msingi ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya.
-
Iran yazindua kombora jipya la 'Raad 500'
Feb 09, 2020 12:10Iran imezindua kombora jipya linalojulikana kama 'Raad 500' ambalo linatumia injini aina ya kompositi inayojulikana kama 'Zahir' sambamba na kuzindua kizazi kipya cha makombora ya kijeshi na makombora ya kubeba satalaiti. Uzinduzi huo umehudhuriwa na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hussein Salami.
-
Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran
Jan 26, 2020 03:20Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.
-
Alkhamisi, tarehe 3 Oktoba, 2019
Oct 03, 2019 04:12Leo ni Alkhamisi tarehe 4 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2019.
-
Hizbullah: Kombora letu jipya linaweza kusambaratisha manowari yoyote
Sep 17, 2019 02:32Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) imesema kombora lake jipya lenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa linaweza kuharibu aina yoyote ya manowari na meli za kijeshi.
-
Ansarullah yashambulia maeneo muhimu ya kijeshi mjini Riyadh
Aug 26, 2019 13:20Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa, wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya kituo muhimu sana cha kijeshi katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Russia yasema itajibu mapigo kwa hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora Asia na Ulaya
Aug 18, 2019 13:17Waziri wa Ulinzi wa Russiia ametahadharisha kwamba, Moscow itajibu hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora katika nchi za Asia na Ulaya.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Majaribio ya makombora ni 'onyo' kwa Marekani na Korea Kusini
Aug 08, 2019 03:59Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametangaza kuwa mlolongo wa majaribio ya makombora yaliyofanywa hivi karibuni na Pyongyang yametuma "onyo tosha" kwa mazoezi ya kijeshi ya pamoja yanayofanywa na Korea Kusini na Marekani.