-
Nguvu za makombora za Iran, upeo wa juu wa maendeleo ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu
Jan 03, 2019 08:08Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miradi ya kiulinzi hususan umakini na uwezo wa hali ya juu wa makombora, umeifanya Iran kuwa taifa lililopiga hatua nzuri sana za kiulinzi.
-
Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto
Dec 13, 2018 03:51Sambamba na kutimia miaka 40 tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, uhasama na uadui wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu umefikia kileleni.
-
Iran hufanya majaribio zaidi ya 40-50 ya makombora kila mwaka
Dec 11, 2018 21:42Kamanda wa Kitengo cha Angani cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, amezungumzia habari kuhusu Iran kufanya jaribio la kombora la balistiki hivi karibuni na kusema: "Kauli za wakuu wa Marekani ni ishara kuwa, wanalipa umuhimu mkubwa sana suala la majaribio hayo."
-
Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini
Nov 13, 2018 11:13Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imekadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani ya 'Kituo cha Utafiti wa Kimataifa na Kistratijia' juu ya kuendelea shughuli za makombora ya siri ya Korea Kaskazini.
-
Nasrullah: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel kunafichua sura halisi za wanafiki
Nov 11, 2018 01:08Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba, kuwa na uhusiano wa kawaida nchi za Kiarabu na utawala haramu wa Israel kutafichua sura halisi za wanafiki na wahadaaji.
-
Yemen yaipiga Saudia kwa kombora la balestiki baada ya wavamizi hao kuua Wayemen 8 wa familia moja
Nov 08, 2018 11:18Jeshi la Yemen likishirikiana na wapiganaji wa Kamati za Kujitolea za Wananchi, limevurumisha kombora la balestiki lililotengenezwa nchini humo na kupiga kambi ya mamluki wa Saudi Arabia, katika mkoa wa kaskazini mwa nchi hiyo wa Jawf, na kuangamiza mamluki kadhaa.
-
Uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya walengwa kwa kombora
Sep 12, 2018 03:09Duru za habari leo asubuhi zimeripoti kuwa uwanja wa ndege wa Tripoli mji mkuu wa Libya umeshambuliwa kwa kombora.
-
Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake
Aug 19, 2018 10:51Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza ilipanga kuzindua leo Jumapili sehemu ya makombora yaliyotumiwa na harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu kwa ajili ya kuilinda nchi hiyo katika miaka ya karibuni.
-
Jinamizi la kuendelea kupigwa Saudia kwa makombora ya Wayemen
Jun 13, 2018 02:07Turki al Maliki, msemaji wa muungano vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ametangaza kuwa hadi sasa Wayemen wameshavurumisha makombora 149 upande wa Saudia.
-
Makombora ya Yemen yaulenga mji mkuu wa Saudia, Riyadh
May 09, 2018 21:56Wanajeshi wa Yemen wametumia makombora yaliyoundwa nchini humo kushambulia maeneo kadhaa ya kijeshi na kiuchumi ya Saudia Arabia ukiwemo mji mkuu wa nchi hiyo, Riyadh.