-
Syria: Hivi sasa tuna uwezo mkubwa wa kutungua makombora ya adui
Apr 17, 2018 09:51Mshauri wa Rais Bashar al-Assad wa Syria, Bouthaina Shaaban amesema kuwa, jeshi la Syria limethibitisha uwezo mkubwa wa makombora yake hasa baada ya kukabiliana vilivyo na shambulizi la hivi karibuni la Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya nchi hiyo.
-
Jeshi la Syria latungua makombora 9 yaliyolenga viwanja vya ndege vya kijeshi
Apr 16, 2018 23:18Jeshi la Syria mapema leo asubuhi limetungua makombora tisa ambayo yalikuwa yamelenga viwanja vya ndege vya kijeshi vya Shayrat mkoani Homs na Al Dumayr katika viunga vya mji mkuu Damascus.
-
Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria
Apr 14, 2018 02:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.
-
Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota
Apr 11, 2018 00:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota.
-
Ansarullah ya Yemen yavurumisha kombora katika kambi ya Jeshi la Saudia huko Najran
Mar 31, 2018 10:43Kitengo cha Makombora cha Harakati ya Ansarullah ya Yemen kimetangaza kuwa kimevurumisha kwa mafanikio kombora la balistiki ambalo limelenga kituo cha Jeshi la Saudia katika mkoa wa Najran kusini mwa ufalme huo.
-
Ufaransa yataka kusimamishwa mpango wa makombora wa Iran
Mar 08, 2018 12:29Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema anachukua hatua kadhaa kwa lengo la kuhakikisha mpango wa makombora ya balisitiki wa Iran unasimamishwa.
-
Sharti la Kufanya Mazungumzo Kuhusu Makombora ya Iran ni Kuangamizwa Makombora ya Masafa Marefu ya Marekani na Ulaya
Mar 03, 2018 12:52Msemaji wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sharti la kufanya mazungumzo kuhusu makombora ya Iran ni kuangamizwa silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu ya Marekani na Ulaya.
-
Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House
Jan 31, 2018 03:58Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, serikali ya Donald Trump nchini Marekani imeongeza uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden: Israel inayo makombora ya nyuklia
Jan 24, 2018 04:26Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden Carl Bildt ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba: Israel inayo makombora ya kisasa ya balistiki yenye uwezo wa kinyuklia.
-
Kombora la Yemen laua mamluki 35 wa Saudia mkoani Taizz
Jan 23, 2018 04:04Vikosi vya Yemen vimefyatua kombora la balestiki na kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia katika mkoa wa Taizz, kusini mashariki mwa nchi.