-
Saudia kununua mfumo wa makombora kutoka Israel
Jan 09, 2018 12:42Gazeti la moja la Uswisi limefichua mpango wa Saudi Arabia kutaka kununua mfumo wa ngao ya makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, katika hali ambayo ripoti zinasema tawala mbili hizo zipo mbioni kuimarisha uhusiano wao dhidi ya Iran.
-
Mashambulizi ya makombora ya Yemen yaitia kiwewe Saudi Arabia
Jan 06, 2018 23:13Viongozi wa serikali ya Riyadh Ijumaa usiku waliitisha kikao cha dharura cha Baraza la Masuala ya Kisiasa na Kiusalama baada ya shambulizi la makombora ya harakati ya Ansarullah lililolenga eneo la Najran huko kusini mwa Saudi Arabia.
-
Mji wa Riyadh washambuliwa tena kwa kombora la balestiki, sasa ni wizara ya ulinzi ya Saudia
Dec 30, 2017 04:14Duru za Yemen zimetangaza kuwa zimevurumisha kombora jengine la balestiki kupiga wizara ya ulinzi ya Saudi Arabia mjini Riyadh.
-
Ansarullah yavurumisha kombora la balestiki kulenga kasri ya Mfalme wa Saudia
Dec 19, 2017 09:59Harakati ya Ansarullah ya Yemen imefyatua kombora la balestiki kuilenga Kasri ya al-Yamamah, makazi rasmi ya Mfalme Salman wa Saudi Arabia katika mji mkuu Riyadh.
-
Msaidizi maalumu wa Spika: Madai ya Marekani dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa
Dec 16, 2017 04:31Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema madai yaliyotolewa na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran ni fedheha ya kisiasa.
-
Zarif: Marekani ni mshirika wa Saudia katika uhalifu wa kivita Yemen
Dec 16, 2017 00:15Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa Marekani ni mshirika wa Saudi Arabia katika uhalifu na jinai za kivita zinazofanyika nchini Yemen.
-
UN: Kombora lililovurumishwa Riyadh Saudi Arabia si la Iran
Dec 15, 2017 00:47Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa usiku wa kuamkia leo amesisitiza kuwa, hakuna ushahidi wowote unaoweza kuthibitisha madai kwamba makombora yanayotumiwa na jeshi la Yemen kuipiga Saudi Arabia yanatoka nchini Iran.
-
Katibu Mkuu wa UN: Makombora yaliyoshambulia Saudia kutokea Yemen si ya Iran
Dec 12, 2017 12:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo haujaweza kuthibitisha kuwa makombora yaliyolenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh ni ya Iran.
-
Ansarullah Yemen: Kombora lililorushwa Abu-Dhabi; ni jibu kwa njama za Imarati
Dec 03, 2017 10:51Mwakilishi wa Kamati ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa kombora la Cruz lililorushwa huko Abu-Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu ni jibu kwa njama zinazofanywa na Imarati za kuviangamiza vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen.
-
Kombora jengine la balisitiki la Yemen latua ndani ya ardhi ya Saudia
Dec 01, 2017 01:11Jeshi la Yemen kwa ushirikiano na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah limefyatua kombora jengine la balisitiki la masafa ya kati na kulenga eneo la kijeshi ndani ya ardhi ya Saudia, likiwa ni kombora la pili kufyatuliwa na jeshi hilo ndani ya mwezi huu.