Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kombora

  • Answarullah: Miji mikuu ya nchi zinazoishambulia Yemen iko katika shabaha ya makombora yetu

    Answarullah: Miji mikuu ya nchi zinazoishambulia Yemen iko katika shabaha ya makombora yetu

    Nov 09, 2017 11:29

    Kiongozi wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, miji mikuu ya nchi za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia, iko katika shabaha ya makombora ya jeshi la Yemen na harakati hiyo ya wananchi.

  • Kombora la balistiki la Yemen laulenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid mjini Riyadh, Saudia

    Kombora la balistiki la Yemen laulenga uwanja wa ndege wa Mfalme Khalid mjini Riyadh, Saudia

    Nov 05, 2017 04:37

    Kikosi cha makombora cha jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi jana usiku kilifyatua kombora la balistiki la masafa marefu aina ya Borkan H2 na kuulenga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mfalme Khalid ulioko kwenye mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.

  • Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Oct 19, 2017 04:16

    Afisa wa ngazi za juu wa kijeshi nchini Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake mkubwa wa makombora.

  • Jumanne tarehe 3 Oktoba, 2017

    Jumanne tarehe 3 Oktoba, 2017

    Oct 03, 2017 00:29

    Leo ni Jumanne tarehe 12 Muharram 1439 Hijria sawa na 3 Oktoba 2017.

  • Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina

    Brigedia Jenerali Hajizadeh: Iran ina "baba wa mabomu yote"

    Sep 16, 2017 03:47

    Kamanda ngazi za juu wa jeshi la Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina "baba wa mabomu yote" na lenye nguvu kubwa zaidi kuliko yote yasiyo ya nyuklia duniani.

  • Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Korea Kasazini yarusha kombora kuelekea Japan, UNSC kuitisha kikao cha dharura

    Aug 29, 2017 03:08

    Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa UNSC kuitisha mkutano wa dharura baada ya Korea Kaskazini kuvurumisha kombora lililoruka katika anga yake na kudondoka katika pwani ya kisiwa cha Hokkaido, mashariki mwa Japan.

  • Qassemi: Iran itaendeleza mipango yake ya makombora kwa nguvu zake zote

    Qassemi: Iran itaendeleza mipango yake ya makombora kwa nguvu zake zote

    Jul 29, 2017 22:35

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina haki ya kutoa majibu mwafaka dhidi ya hatua ya Marekani na kwamba, itaendelea mbele na mipango yake ya makombora.

  • Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia

    Korea Kaskazini yaionya Marekani, yasema itaishambulia kwa nyuklia

    Jul 27, 2017 00:13

    Korea Kaskazini imetangaza kuwa, ikiwa Marekani itafanya kosa kuishambulia kwa nyuklia, basi itapata jibu kama hilo.

  • Iran yazindua utengenezaji wa kombora jipya la anga la Sayyad-3

    Iran yazindua utengenezaji wa kombora jipya la anga la Sayyad-3

    Jul 22, 2017 12:22

    Uzalishaji wa kombora la anga la masafa marefu la Sayyad-3 umezinduliwa leo katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi hapa nchini.

  • Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini

    Trump: Ni lazima China ichukue hatua kali dhidi ya Korea Kaskazini

    Jul 04, 2017 03:45

    Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Uchina kuchukua uamuzi mgumu kuhusiana na hatua ya Pyongyang ya kuvurumisha kombora jipya la balestiki mapema leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS