-
Uwezo wa kijeshi wa Iran ni wa kuridhisha
Jun 25, 2017 03:17Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh, Kamanda wa Jeshi la Anga za Karibu na Mbali la Walinzi wa Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, SEPAH, amesema kuwa uwezo wa kijeshi wa hivi sasa wa Iran hauwezi kulinganishwa hata kidogo na wa kipindi cha vita vya miaka minene vya kujitetea kutakatifu na kuongeza kuwa hali hiyo ya kijeshi ni ya kuridhisha.
-
Kombora moja tu la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran limewaangamiza Madaesh 50
Jun 19, 2017 22:43Duru katika medani za vita zimetangaza kuwa zaidi ya magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) waliangamizwa baada ya kombora moja kati ya sita ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kulenga kamandi ya kijeshi ya kundi hilo katika mji wa Al-Mayadin ulioko kwenye viunga vya Deir Ezzor mashariki mwa Syria.
-
Jenerali Dehqan: Tuna uwezo wa kuuza nje makombora na kuongeza kiwango cha uundaji silaha kwa asilimia 100
May 02, 2017 12:23Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema, mbali na Iran kujitosheleza kwa mahitaji ya ndani ina uwezo pia wa kusafirisha na kuuza nje ya nchi makombora yanayoundwa hapa nchini.
-
Rouhani: Iran haitachukua idhini kwa yeyote kuunda makombora na ndege
Apr 15, 2017 09:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imekuwa muathirika wa hujuma ya kiuoga na kwa msingi huo haitachukua idhini kutoka kwa yeyote katika kuimarisha vikosi vyake vya ulinzi hasa uundaji wa makombora na ndege za kivita.
-
Korea Kaskazini yaonyesha kombora jipya la balestiki la SLBMs
Apr 15, 2017 03:19Katika hali ambayo taharuki imetanda katika Peninsula ya Korea , serikali ya Korea Kaskazini imezindua kombora lake jipya la balestiki la nyambizi (SLBMs).
-
Afrika Kusini yapania kuiuzia Iran mfumo wa makombora
Mar 20, 2017 03:58Mtandao wa habari wa mybroadband umeripoti kuwa Afrika Kusini inataka kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa makombora ya ardhini hadi angani.
-
Iran yalifanyia majaribio kwa mafanikio kombora la balestiki la Hormuz-2
Mar 10, 2017 00:40Kamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema jeshi hilo limefanyia majaribio kwa mafanikio kombora la balestiki la Hormuz-2.
-
Jeshi la Yemen lashambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya Wasaudia
Mar 09, 2017 04:30Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limeshambulia kwa kombora la balestiki, eneo la mkusanyiko la askari vibaraka wa Saudia katika mji wa al-Makha katika mkoa wa Taiz nchini humo.
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu makombora
Jan 31, 2017 10:00Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani kuhusu kubadilisha kadhia ya makombora halali ya Iran kuwa mchezo wa kisiasa.
-
Jeshi la Iran lafanya mazoezi ya makombora
Mar 08, 2016 14:58Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran IRGC linafanya awamu ya mwisho ya mazoezo makubwa ya makombora ya kijihami.