Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili

    Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili

    Nov 11, 2018 12:46

    Vyombo vya habari vilivyo karibu na serikali ya Korea Kaskazini, vimekosoa mpango wa Marekani wa kuanzisha jopokazi maalumu la kusimamia uhusiano wa Korea mbili na pia kufanya maneva za kijeshi za pamoja baharini.

  • Facebook: Iran na Korea Kaskazini hazijahusika kuiba taarifa za watumiaji wa mtandao wetu

    Facebook: Iran na Korea Kaskazini hazijahusika kuiba taarifa za watumiaji wa mtandao wetu

    Oct 19, 2018 15:05

    Shirika la Mtandao wa Kijamii la Facebook limekadhibisha tuhuma kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Korea Kaskazini zimehusika kudukua taarifa za watumiaji wa mtandao huo.

  • Korea Kaskazini: Japan inakusudia kurejesha mfumo wa kijeshi katika eneo

    Korea Kaskazini: Japan inakusudia kurejesha mfumo wa kijeshi katika eneo

    Oct 18, 2018 08:04

    Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa azma ya Japan ya kuelekea kwenye mfumo wa kijeshi kwamba, kuifanyia marekebisho katiba ya nchi hiyo ni kurejesha kipindi kilichopita cha umwagaji damu.

  • Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!

    Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!

    Oct 07, 2018 02:26

    Watafiti kadhaa ya Marekani wamedai kwamba, uchunguzi wao umebaini kuwa Korea Kaskazini inaendelea na shughuli zake za nyuklia huku ikiilaumu Washington kuwa inapuuza kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili mwezi Juni mwaka huu.

  • Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Sep 30, 2018 01:26

    Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.

  • Matamshi ya Rais wa Korea Kusini kuhusu kuwa kitu kimoja mataifa mataifa mawili ya Korea Kaskazini na Kusini

    Matamshi ya Rais wa Korea Kusini kuhusu kuwa kitu kimoja mataifa mataifa mawili ya Korea Kaskazini na Kusini

    Sep 30, 2018 01:23

    Rais wa Korea ya Kusini amezungumzia uhusiano wa Korea mbili na kusema kuwa nchi mbili hizo ni kitu kimoja na kwamba zina hamu ya kuona amani na uthabiti ukitawala katika Peninsula ya Korea.

  • Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja

    Korea mbili zakubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja

    Sep 28, 2018 04:16

    Serikali za Korea Kusini na Korea Kaskazini zimekubaliana kufanya kikao cha kwanza cha bunge la pamoja mwaka huu.

  • Trump anajiandaa kukutana na Kim Jong-un, huku Russia ikiikosoa Marekani

    Trump anajiandaa kukutana na Kim Jong-un, huku Russia ikiikosoa Marekani

    Sep 23, 2018 02:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema kuwa, Rais wa nchi hiyo Donald Trump anajiandaa kwa mkutano wa pili na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini.

  • Marekani: Tupo tayari kuanza upya mazungumza na Korea Kaskazini

    Marekani: Tupo tayari kuanza upya mazungumza na Korea Kaskazini

    Sep 20, 2018 15:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, nchi yake imejiandaa kuanza haraka mazungumzo ya kutokomeza silaha za nyuklia za Korea Kaskazini na kwamba mazungumzo hayo yatakamilika ifikapo mwezi Januari 2021.

  • Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini

    Sisitizo la Rais Vladmir Putin wa Russia juu ya ulazima wa kudhaminiwa usalama wa kimataifa wa Korea Kaskazini

    Sep 14, 2018 02:26

    Mgogoro wa Rasi ya Korea ni moja ya masuala ambayo Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akiyapa umuhimu mkubwa, tangu alipoingia madarakani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS