-
Jumapili, Septemba 9, 2018
Sep 09, 2018 08:14Leo ni Jumapili tarehe 28 Mfunguo Tatu, Dhul-Hijjah 1439 Hijiria, sawa na tarehe tisa Septemba mwaka 2018 Miladia.
-
Marekani yaendelea kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini licha ya Pyongyang kutekeleza majukumu yake
Sep 07, 2018 07:38Katika kuendeleza hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, kwa mara nyingine Wizara ya Hazina ya Marekani imeiwekea vikwazo serikali ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini: Tutaendelea na mpango wa kuangamiza silaha za nyuklia
Sep 07, 2018 04:47Kwa mara nyingine Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kufungamana na majukumu yake ya kuangamiza silaha zake za nyuklia na kuimarisha usalama katika Rasi ya Korea.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani kwa miamala yake mibaya katika mazungumzo
Aug 29, 2018 14:50Serikali ya Korea Kaskazini imewaonya viongozi wa Marekani juu ya uwezekano wa kuvunjika mazungumzo kati ya pande mbili, kufuatia hatua ya Washington ya kumzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo kutembelea Pyongyang.
-
Hamu ya Korea Kaskazini kuboresha uhusiano wake na Japan
Aug 28, 2018 07:56Mwanzoni mwa mwezi huu, Korea Kaskazini ilimuachilia huru raia wa Japan aliyekamatwa na nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya ujasusi.
-
Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump
Aug 27, 2018 03:18Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.
-
IAEA: Korea ya Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia
Aug 21, 2018 15:17Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umetangaza kuwa hakuna kiashiria chochote kinachoonyesha kuwa shughuli za nyuklia za Korea ya Kaskazini zimesimamishwa.
-
Kim Jong-un: Nchi zinazotuwekea vikwazo zinachukua hatua za kutapatapa dhidi ya raia wetu
Aug 17, 2018 14:55Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekosoa vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi yake na kusema kuwa, nchi zinazoliwekea vikwazo taifa hilo zinachukua hatua za kutapatapa kwa ajili ya kuwaangamiza raia wa nchi hiyo.
-
Radiamali ya Korea Kaskazini kwa matamshi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Aug 13, 2018 02:46Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa msimamo wa António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kadhia ya utokomezaji wa silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Vikwazo vya Marekani dhidi yetu vinasimamisha utokomezaji wa silaha za nyuklia
Aug 10, 2018 17:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ikisema kuwa, mashinikizo ya Marekani kupitia njia ya kuiwekea vikwazo serikali ya Pyongyang, yanakwamisha maendeleo ya kutokomeza silaha za nyuklia katika peninsula ya Korea.