-
Mwanzo wa sera mpya; zawadi ya Krismasi ya Un kwa Trump
Jan 02, 2020 09:56Kiongozi wa Korea Kaskazini ameionya Marekani kuhusu sera inazofuata dhidi ya nchi yake. Kim Jong Un ametoa onyo hilo katika ujumbe wake wa mwaka mpya wa 2020 na kutangaza kuwa: "Iwapo Marekani itaendeleza siasa zake dhidi ya Korea Kaskazini, basi silaha za nyuklia kamwe hazitoangamizwa katika Rasi ya Korea."
-
"Zawadi ya Krismasi" ya Korea Kaskazini na hofu na kiwewe cha Marekani na waitifaki wake
Dec 28, 2019 07:02Sambamba na kukaribia kumalizika muhula iliotoa Korea Kaskazini kwa Marekani, ripoti za vyombo vya habari zinaeleza kuwa, harakati za ndege za ujasusi za Washington katika anga ya Peninsula ya Korea zimeshtadi na kupamba moto.
-
Jeshi la Korea Kusini: Tumejiandaa vilivyo kukabiliana na harakati tarajiwa za jeshi la Korea Kaskazini
Dec 25, 2019 16:33Jeshi la Korea Kusini limetoa taarifa likisema kuwa, nchi hiyo imejiandaa vilivyo kukabiliana na harakati zozote tarajiwa za jeshi la Korea Kaskazini.
-
John Bolton akiri kufeli siasa za mashinikizo ya juu zaidi za Trump dhidi ya Korea Kaskazini
Dec 24, 2019 07:02Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akitumia mabavu dhidi ya nchi shindani na zinazopinga siasa za Washington, pia anatekeleza siasa za vitisho na mazungumzo ya siri dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani atishia kupigana vita na Korea Kaskazini
Dec 24, 2019 04:25Waziri wa Ulinzi wa Marekani ameitishia kuanzisha vita dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Radiamali ya Korea Kaskazini kwa takwa la Marekani la kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama
Dec 15, 2019 07:02Korea Kaskazini imekosoa sababu iliyotolewa na Marekani ya kutaka kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili jaribio la kombora la hivi karibuni lililofanywa na serikali ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafanya 'jaribio jingine muhimu' la kombora
Dec 14, 2019 12:27Korea Kaskazini imetangaza kufanya kwa mafanikio 'jaribio jingine muhimu' katika Kituo cha Kurushia Satalaiti cha Sohae siku ya Ijumaa.
-
Korea Kaskazini: Marekani haina kitu kipya cha kuwasilisha kwenye mazungumzo
Dec 13, 2019 15:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Marekani haina kitu kipya inachoweza kukiwasilisha kwenye mazungumzo na serikali ya Pyongyang.
-
Russia: Vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia
Dec 12, 2019 07:49Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema haiwezekani kupatikana amani katika Rasi ya Korea kupitia njia ya vikwazo na mashinikizo na kwamba, vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia na njia ya utatuzi wa kisiasa.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki
Nov 29, 2019 02:36Jeshi la Korea Kusini limetangaza kwamba Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki.