-
Kim Jong-un awatembelea askari eneo la mpakani awataka kujiweka tayari
Nov 26, 2019 04:44Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini ametembelea taasisi za kijeshi za nchi hiyo katika maeneo ya mpakani na kulitaka jeshi kujiweka tayari kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui.
-
Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu
Nov 14, 2019 07:25Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo jipya kwa viongozi wa Marekani kwamba, iwapo nchi hiyo kwa kushirikiana na Korea Kusini zitafanya maneva ya kijeshi, basi Pyongyang itajibu hatua hizo za uhasama.
-
Korea Kaskazini: Mazungumzo yetu na Marekani yanakaribia kuvunjika kikamilifu
Nov 09, 2019 08:02Mkuu wa kitengo cha masuala ya Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini, ameelezea uwezekano wa kuvunjika kikamilifu mazungumzo kati ya Washington na Pyongyang, kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani.
-
Korea Kaskazini: Hatutosalimu amri mbele ya Marekani
Oct 16, 2019 11:51Kiongozi wa Korea Kaskazini amekemea uhasama wa vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya nchi yake na kusisitiza kwamba, kamwe serikali ya Pyongyang haitosalimu amri mbele ya Washington.
-
Korea Kaskazini: Nchi za Magharibi zisijaribu kuwasilisha suala la makombora yetu UNSC
Oct 08, 2019 14:29Serikali ya Korea Kaskazini imeionya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya juu ya hatua yao ya kuwasilisha suala la majaribio ya makombora yake mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani: Kama mazungumzo hayatofanikiwa, yatatokea matukio ya kutisha
Oct 07, 2019 18:56Mwakilishi mwandamizi wa ujumbe wa Korea Kaskazini katika mazungumzo na Marekani, ambaye amerudi nchini humo hivi karibuni kutoka Sweden yalikofanyika mazungumzo yaliyofeli baina ya nchi yake na Marekani, ameionya Washington kuwa, endapo hautafikiwa mwafaka katika mazungumzo hayo yatatokea matukio ya kutisha.
-
Kuvunjika mzungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Oct 07, 2019 09:59Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, anaendelea na siasa za vitisho na mazungumzo katika fremu ya ahadi zake za uchaguzi za kuutatua mgogoro wa nyuklia wa Rasi ya Korea.
-
Uafriti wa Marekani wa kukwamisha mazungumzo ya Rasi ya Korea
Oct 03, 2019 04:13Mwakilishi wa Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa amesema, kuhalifu Marekani ahadi zake ndiko kulikosababisha kusita mazungumzo ya nyuklia kati ya nchi mbili. Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Kim Song amebainisha kuwa: Hali ya mambo katika Rasi ya Korea ingali inazidi kutokota joto la mivutano, suala ambalo limetokana na hatua za kichochezi za kijeshi na kisiasa za Marekani.
-
Marekani yajaribu kufanya tena mazungumzo na Korea ya Kaskazini
Sep 02, 2019 04:06Viongozi wa Marekani wanajaribu kila linalowezekana kufanya tena mazungumzo na Korea ya Kaskazini kufuatia tahadhari iliyotolewa na serikali ya Pyongyang.
-
Korea Kaskazini yafanya jaribio la tano la makombora kupinga manuva ya pamoja ya Marekani na Korea Kusini
Aug 10, 2019 15:00Korea Kaskazini imefanya jaribio jengine la makombora mawili ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini, likiwa ni la tano kufanywa na nchi hiyo kama ishara ya kulalamikia na kupinga mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Korea Kusini.