-
Watawala wa Korea Kusini wataka kutowekwa ngao ya THAAD ya Marekani nchini mwao
May 18, 2017 00:06Mkuu wa chama tawala katika bunge la Korea Kusini ametaka kuangaliwa upya suala la kuwekwa ngao ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Pyongyang imejiandaa kulifanyia majaribio kombora jipya la nyuklia
May 16, 2017 23:33Waziri wa Ulinzi nchini Korea Kusini ametangaza kuwa, hivi sasa Korea Kaskazini inajiandaa kwa ajili ya kufanya majaribio mapya ya kombora la nyuklia.
-
Rais wa Korea Kusini yupo tayari kuitembelea nchi jirani ya Korea Kaskazini
May 10, 2017 23:01Rais mpya wa Korea Kusini Moon Jae-in amefungua urais wake kwa kutangaza kuwa yuko tayari kuitembelea Korea Kaskazini iwapo mazingira yataruhu ikiwa ni katika kutekeleza ahadi za uchaguzi za kufanya mazungumzo na nchi hiyo hasimu.
-
Wakorea Kusini wafanya mabadiliko kwa kumchagua Moon Jae-in won Mleberali kuwa rais wao
May 09, 2017 09:43Habari za hivi punde zinaeleza kuwa, mgombea wa chama cha kileberali Moon Jae-in won, ameshinda katika uchaguzi wa rais nchini Korea Kusini uliofanyika leo. Moon mwenye umri wa miaka 64 ameshinda kwa kupata asilimia 41.4 .
-
China yawapiga marufuku raia wake kwenda Korea Kusini, Pyongyang nayo yainyoshea kidole Marekani
May 06, 2017 11:06Hatua ya Korea Kusini ya kukubali kuweka ngao ya kisasa ya makombora aina ya THAAD ya Marekani ndani ya ardhi ya nchi hiyo, imewafanya viongozi wa serikali ya China kuwapiga marufuku raia wake kufanya safari ndani ya taifa hilo jirani.
-
Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali
May 05, 2017 23:45Pyongyang imesema Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linapanga njama ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kushirikiana na Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini.
-
Wakorea Kusini: Hatutaki Marekani iweke ngao yake ya makombora nchini kwetu
Apr 27, 2017 11:30Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kulalamikia uamuzi wa serikali wa kukubali kuweka ngao ya makombora ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Tupo tayari kuzungumza na Korea Kaskazini kutatua tofauti
Apr 27, 2017 11:27Serikali ya Korea Kusini imetangaza azma yake ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua tofauti zilizopo baina yao.
-
Waziri Mkuu wa Korea Kusini, atoa amri kulitaka jeshi la nchi hiyo lijiweke tayari kukabiliana na Pyongyang
Apr 20, 2017 13:40Waziri Mkuu wa Korea Kusini anayekaimu nafasi ya rais, amelitaka jeshi na vikosi vya nchi hiyo kujiweka tayari kutokana na kile alichokisema kuwa ni kushadidi kwa harakati za kijeshi za Pyongyang.
-
Korea Kusini nayo yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hyunmoo ili kuilenga Pyongyang
Apr 06, 2017 03:45Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza leo kwamba imelifanyia majaribio kombora jipya la balestiki la kilometa 800 kwa mafanikio makubwa.