Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kusini

  • Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Trump alegeza msimamo na kukubali kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini

    Mar 09, 2018 06:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amelegeza msimamo na kukubali kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jon-un mwezi Mei mwaka huu.

  • Kim Jong-un ataka kupanuliwa mahusiano na Korea Kusini haraka

    Kim Jong-un ataka kupanuliwa mahusiano na Korea Kusini haraka

    Mar 06, 2018 17:10

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini sambamba na kufurahishwa na hatua ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ya kumtuma mjumbe wake maalumu mjini Pyongyang, ametaka kuboreshwa haraka mahusiano ya nchi mbili.

  • Mjumbe wa Rais wa Korea Kusini mjini Pyongyang aanza safari kuimarisha mahusiano zaidi

    Mjumbe wa Rais wa Korea Kusini mjini Pyongyang aanza safari kuimarisha mahusiano zaidi

    Mar 05, 2018 08:23

    Mjumbe maalumu wa Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amefanya safari nchini Korea Kaskazini ambapo pia amesema kuwa akiwa Pyongyang atajadiliana na viongozi wa nchi hiyo kuhusiana na masuala ya silaha za nyuklia.

  • Huenda rais wa zamani wa Korea Kusini akafungwa miaka 30 jela

    Huenda rais wa zamani wa Korea Kusini akafungwa miaka 30 jela

    Feb 28, 2018 01:32

    Mwendesha mashtaka wa Korea Kusini ametaka kufungwa kifungo cha miaka 30 jela aliyekuwa rais wa nchi hiyo Bi Park Geun-hye kutokana ufisadi wa kifedha na kisiasa wakati alipokuwa rais wa nchi hiyo.

  • Korea Kusini yakiri kushindwa stratijia za pamoja kati yake na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Korea Kusini yakiri kushindwa stratijia za pamoja kati yake na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Feb 24, 2018 08:04

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amekiri kufeli stratijia za Washington na Seoul kwa ajili ya kuivua silaha za nyuklia Korea Kaskazini kwa kipindi cha miakka 25 iliyopita.

  • Korea Kusini: Baada ya michuano ya Olimpiki, tutajikita na mazungumzo na Pyongyang

    Korea Kusini: Baada ya michuano ya Olimpiki, tutajikita na mazungumzo na Pyongyang

    Feb 22, 2018 04:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema kuwa, baada ya kumalizika michuano ya sasa ya msimu wa baridi kali inayoendelea huko Pyeongchang, Korea Kusini, Seoul itajikita katika kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua maudhui ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.

  • Wakorea Kusini wanataka kufanyika mazungumzo kati ya Rais Moon Jae-in na Kim Jong-un

    Wakorea Kusini wanataka kufanyika mazungumzo kati ya Rais Moon Jae-in na Kim Jong-un

    Feb 16, 2018 04:38

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Korea Kusini unaonyesha kwamba, zaidi ya asilimia 60 ya raia wa nchi hiyo wanataka kufanyike mazungumzo ya amani kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa Korea mbili.

  • Rais Moon Jae-in: Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini

    Rais Moon Jae-in: Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini

    Feb 15, 2018 04:03

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, serikali ya Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro uliopo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 12

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 12

    Feb 12, 2018 07:22

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo yaliyojiri kitaifa na kimataifa, ndani ya siu saba zilizopita.....

  • Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea

    Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea

    Feb 11, 2018 04:43

    Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS