-
Korea Kusini yakataa ombi la Japan la kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika Rasi ya Korea
Feb 11, 2018 01:13Rais Moon Jae in wa Korea Kusini ameonyesha kutoridhishwa na takwa la Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan la kutaka kufanya maneva ya kijeshi na Marekani katika peninsula ya Korea.
-
Vita dhidi ya Uislamu katika michezo ya Olimpiki, Korea Kusini!
Feb 10, 2018 13:05Vita na hujuma dhidi ya Uislamu inaonekana sasa kushamiri zaidi na kuingia katika michezo ya kimataifa.
-
Korea Kaskazini: Maafisa wetu walioenda Korea Kusini hawatokutana na viongozi wa US
Feb 08, 2018 11:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema kuwa, viongozi wa nchi hiyo waliofanya safari nchini Korea Kusini kwa ajili ya kushiriki katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi, kamwe hawatokutana na viongozi wa Marekani.
-
Rais wa Korea Kusini aonyesha matarajio ya kufikiwa amani kati ya Korea mbili
Feb 06, 2018 10:44Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini, amesema kuwa kufanyika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali ndani ya mwezi huu kwa kuishirikisha Korea Kaskazini, ni mwanzo wa ratiba ya kupatikana amani katika eneo la Rasi ya Korea.
-
Licha ya malalamiko ya Korea Kaskazini, Marekani na Korea Kusini zaanza maneva ya kijeshi
Feb 02, 2018 11:17Huku serikali ya Korea Kaskazini ikijiandaa kuboresha uhusiano wake na Korea Kusini, vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuanza maneva mapya ya kijeshi kati ya askari wa Marekani na nchi hiyo inayopakana na Korea Kaskazini katika Rasi ya Korea.
-
Zaidi ya 40 wauawa katika mkasa wa moto hospitalini Korea Kusini
Jan 26, 2018 03:53Kwa akali watu 41 wamepoteza maisha baada ya moto mkali kuteketeza sehemu ya jengo la hospitali moja nchini Korea Kusini mapema leo.
-
Ujumbe wa Korea Kaskazini wazuru Korea Kusini kwa ajili ya maandalizi ya michuano
Jan 22, 2018 04:43Viongozi wa Korea Kaskazini waliwasili jana Jumapili nchini Korea Kusini chini ya ulinzi mkali, kwa ajili ya kuanza maandalizi ya wanamichezo wake kwenye michezo ijayo ya olimpiki.
-
Korea Kusini: Tafadhali Marekani msituharibie mazungumzo na Korea Kaskazini
Jan 17, 2018 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini ameitaka Marekani kutochafua nga ya mazungumzo yake na Korea Kaskazini na hivyo kuzuia kufanyika kwa namna bora michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi nchini humo.
-
Jumatano tarehe 27 Disemba, 2017
Dec 26, 2017 23:10Leo ni Jumatano tarehe 8 Rabiuthani, 1439 Hijria sawa na 27 Disemba, 2017
-
Jumamosi, Disemba 2, 2017
Dec 02, 2017 00:41Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.