-
Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 08, 2017 04:20Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.
-
Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana dhidi ya Trump
Nov 05, 2017 11:17Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano ya kukashifu kile wanachotaja kama chokochoko za Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Asia, dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya
Oct 24, 2017 11:27Marekani imeendelea kufanya hali ya mambo katika eneo la Peninsula ya Korea kuwa mbaya na hivyo kuhatarisha usalama wa eneo hilo.
-
Korea Kusini yatishia kuangamiza silaha zote za Korea Kaskazini
Oct 20, 2017 04:32Jeshi la Korea Kusini limetoa vitisho vikali ambavyo havijazoeleka kwa kudai kuwa ikiwa kutaibuka vita na mapigano katika eneo hilo, basi litaangamiza makombora yote ya balestiki ya Korea Kaskazini.
-
Mahakama ya Korea Kusini yaongeza muda wa kushikiliwa korokoroni Park Geun-hye
Oct 14, 2017 01:56Mahakama ya Korea Kusini imeongeza muda wa kuendelea kusalia korokoroni Bi Park Geun-hye, rais wa nchi hiyo aliyeuzuliwa madarakani mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2016.
-
Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang
Oct 03, 2017 01:32Serikali ya Korea Kaskazini imeutaja mkataba wa kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini kuwa ni njama ya kutaka kuishambulia nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Yataka kutumiwa njia za amani badala ya za kijeshi kudumisha usalama katika eneo
Sep 30, 2017 01:22Serikali ya Korea Kaskazini imesema ili kuhitimisha mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea, kuna haja ya kuwekwa kando mipango ya kijeshi na kushikamana na mfumo wa amani.
-
Jumanne 15 Agosti, 2017
Aug 14, 2017 21:59Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Agosti 15, 2017.
-
Korea Kaskazini: Njia pekee ya kuzuia vita katika eneo ni Seoul kuzuia chokochoko za Marekani
Aug 13, 2017 23:11Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa mazungumzo ya simu ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini na Rais Donald Trump wa Marekani yaliyofanyika hivi karibuni na kusema kuwa mazungumzo hayo hayawezi kusaidia kumaliza mgogoro uliopo.
-
Kuendelea maandamano ya raia wa Korea Kusini kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Aug 02, 2017 21:59Kwa mara nyingine raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mwendelezo wa uwekaji ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.