Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kusini

  • Korea Kusini sasa yaomba mazungumzo na Korea Kaskazini

    Korea Kusini sasa yaomba mazungumzo na Korea Kaskazini

    Jul 08, 2017 07:25

    Huku mgogoro wa Peninsula ya Korea ukiendelea kutokota kufuatia vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba atatumia nguvu za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini, Korea Kusini sasa imetaka mazungumzo yafanyike kutatua mgogoro uliopo.

  • Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe

    Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe

    Jul 03, 2017 04:22

    Serikali ya Korea Kasakazini imetoa pendekezo la kuvunjwa kituo kikuu cha kijeshi kwa ajili ya askari wa mataifa tofauti iliyo chini ya Umoja wa Mataifa huko Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini ivunjwe.

  • Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani

    Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani

    Jun 27, 2017 15:08

    Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler, kiongozi wa zamani wa Kinazi nchini Ujerumani.

  • Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia

    Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia

    Jun 26, 2017 08:00

    Waziri Mkuu wa Korea Kusini ameitaka serikali ya Korea Kaskazini kuwaalichilia huru raia wa nchi hiyo na wale wa Marekani ambao wanashikiliwa na serikali ya Pyongyang.

  • Asilimia 78 ya raia wa Korea Kusini wanapendelea nchi yao izungumze na Korea Kaskazini

    Asilimia 78 ya raia wa Korea Kusini wanapendelea nchi yao izungumze na Korea Kaskazini

    Jun 26, 2017 04:06

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonyesha kwamba, raia wengi wa Korea Kusini, wanapendelea nchi yao ifanye kila juhudi kuhakikisha inafanya mazungumzo ya amani na jirani yao Korea Kaskazini.

  • Malalamiko ya raia wa Korea Kusini dhidi ya Marekani

    Malalamiko ya raia wa Korea Kusini dhidi ya Marekani

    Jun 01, 2017 03:19

    Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji tofauti ya nchi hiyo hususan Seoul, mji mkuu wa taifa hilo ambapo mbali na kutaka kusimamishwa haraka uwekaji ngao ya makombora ya Marekani THAAD, wametaka pia kusitishwa hatua za kijeshi za askari wa nchi hiyo katika eneo la Korea.

  • Raia wa Korea Kusini waandamana kupinga uepo wa Marekani nchini mwao

    Raia wa Korea Kusini waandamana kupinga uepo wa Marekani nchini mwao

    May 30, 2017 08:21

    Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika miji tofauti ya nchi hiyo hususan Seoul, mji mkuu wa taifa hilo ambapo mbali na kutaka kusimamishwa haraka uwekaji ngao ya makombora ya Marekani, wametaka pia kuondolewa askari wa nchi hiyo katika eneo la Korea.

  • Korea Kusini: Urushaji makombora wa Korea Kaskazini unatuweka katika mashinikizo

    Korea Kusini: Urushaji makombora wa Korea Kaskazini unatuweka katika mashinikizo

    May 30, 2017 04:30

    Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa, urushaji makombora unaofanywa na Korea Kaskazini unaiweka Seoul katika mashinikizo kwa ajili ya kubadili siasa za nchi hiyo.

  • Jumamosi, Mei 20, 2017

    Jumamosi, Mei 20, 2017

    May 20, 2017 06:12

    Leo ni Jumamosi tarehe 23 Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 20 Mei mwaka 2017 Miladia.

  • Watawala wa Korea Kusini wataka kutowekwa ngao ya THAAD ya Marekani nchini mwao

    Watawala wa Korea Kusini wataka kutowekwa ngao ya THAAD ya Marekani nchini mwao

    May 18, 2017 04:36

    Mkuu wa chama tawala katika bunge la Korea Kusini ametaka kuangaliwa upya suala la kuwekwa ngao ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD katika ardhi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS