-
Waislamu waomboleza mauaji ya mjukuu wa Mtume, Sadiq Aali Muhammad
Jun 29, 2019 16:55Waislamu wa Iran na baadhi ya maeneo mengine ya dunia leo tarehe 25 Mfunguo Mosi Shawwal wameshiriki katika shughuli ya kukumbuka na kuomboleza mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Ja'far Sadiq (as).
-
Wapalestina 304 wameshauawa shahidi tangu yalipoanza maandamano ya "Haki ya Kurejea"
May 12, 2019 02:36Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, hadi hivi sasa Wapalestina 304 wameshauawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi makatili wa Israel wakiwemo watoto wadogo 59 na wanawake 10 tangu yalipoanza maandamano ya "Haki ya Kurejea" ya Wapaelstina tarehe 30 Machi mwaka jana 2018.
-
Vijana wawili wa Kipalestina wauawa shahidi kwa kupigwa risasi na Wazayuni
Mar 04, 2019 08:08Vijana wawili wadogo wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mpalestina afa shahidi gerezani Israel baada ya kunyimwa matibabu
Feb 07, 2019 07:21Mfungwa Mpalestina amekufa shahidi akiwa katika gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya kunyimwa matibabu.
-
Waislamu wakumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Ridhaa (as)
Nov 08, 2018 04:45Mamilioni ya Waislamu wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume wetu Muhammad (saw) tangu usiku wa kuamkia leo tarehe 29 Safar wanaendelea kukusanyika katika misikiti, taasisi za kidini na kumbi za masuala ya kijamii wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu muhammad (saw), Imam Ali bin Mussa al Ridhaa (as).
-
Wapalestina 6 wauliwa shahidi na zaidi ya 190 wajeruhiwa katika Ijumaa ya "Intifadha ya Quds"
Oct 13, 2018 03:39Wapalestina wasiopungua sita wameuliwa shahidi na wengine zaidi ya 190 wamejeruhiwa katika Ijumaa ya 29 ya maandamano ya "Haki ya Kurejea" yaliyofanyika kwa kaulimbiu ya "Intifadha ya Quds" huko Ukanda wa Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina wengine wawili wauliwa shahidi na Wazayuni
Sep 16, 2018 14:56Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni leo Jumapili wamemfyatulia risasi na kumuua shahidi kijana wa Kipalestina karibu na Bayt Lahm.
-
Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 180 katika maandamano
Aug 25, 2018 07:04Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa tokea yaanze 'Maandamano ya Haki ya Kurejea' Machi 30 mwaka huu wa 2018, Wapalestina 180 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina zaidi ya 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na jeshi la Israel katika maandamano ya leo
May 14, 2018 13:20Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza
-
Wapalestina 35 wameuawa shahidi tangu Trump aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel
Mar 01, 2018 07:37Wapalestina 35 wameuawa shahidi na wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel Disemba mwaka jana.