-
Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 180 katika maandamano
Aug 25, 2018 02:34Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa tokea yaanze 'Maandamano ya Haki ya Kurejea' Machi 30 mwaka huu wa 2018, Wapalestina 180 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina zaidi ya 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na jeshi la Israel katika maandamano ya leo
May 14, 2018 08:50Wapalestina wasiopungua 54 wameuawa shahidi baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza
-
Wapalestina 35 wameuawa shahidi tangu Trump aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel
Mar 01, 2018 04:07Wapalestina 35 wameuawa shahidi na wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel Disemba mwaka jana.
-
Kushtadi jinai za Wazayuni dhidi ya watoto wa Kipalestina
Jan 29, 2018 01:06Wanajeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wamewauwa shahidi watoto watatu wa Kipalestina tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2018 hadi sasa.
-
Mwaka 2017; Israel iliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jan 10, 2018 04:13Harakati ya Kimataifa ya Kuwatetea Watoto tawi la Palestina imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni mwaka uliopita wa 2017 uliwauwa shahidi watoto 15 wa Kipalestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa pili tangu kuuawa shahidi na Aal Saud, Ayatullah Nimr Baqir al-Nimr
Jan 04, 2018 09:13Siku hizi zinasadifiana na mwaka wa pili tangu mwanazuoni mahiri wa Saudi Arabia Ayatullah Nimr Baqir al-Nimr alipouawa shahidi na utawala wa Aal Saud.
-
Wapalestina wawili wauawa shahidi katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga uamuzi wa Trump
Dec 22, 2017 23:13Wapalestina wawili wameuliwa shahidi na makumi ya wengine wamejeruhiwa huko Ukanda wa Gaza katika maandamano ya tatu ya "Ijumaa ya Ghadhabu" ya kupinga na kulaani uamuzi wa rais wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa Israel.
-
Harakati ya Mapambano ya Imam Hussein, Makutano ya Akili na Kuashiki
Nov 07, 2017 08:25Harakati ya mapambano ya Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) hapo mwaka 61 Hijria dhidi ya dhulma na ufisadi wa Bani Umayya ilijaa hamasa, kujitolea na kusabilia kila kitu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, haki na uadilifu, na kwa sababu hiyo imegusa sana nyoyo za Waislamu na hata wapenda haki na kweli wasio Waislamu na kuzusha vuguvugu na hamasa ya aina yake ndani ya nafsi za wapenzi wa mtukufu huyo.
-
Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 05:54Askari wa Nigeria wameuhujumu msafara wa waumini waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kano na kuwaua shahidi Waislamu wawili wa madehehbu ya Shia.
-
Iran yalaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza
Oct 31, 2017 03:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la jana la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza lililouwa shahidi wanamapambano kadhaa wa Palestina.