• Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Kulia Katika Maombolezo ya Imam Hussein (AS): Unyenyekevu wa Moyo na Mapenzi ya Nafsi

    Oct 01, 2017 23:00

    Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji, warahmatullahi wabarakatuh. Kwa kuwadia mwezi wa Muharram, kwa mara nyengine nyoyo za waliokomboka kifikra duniani zinajielekeza kwa Imam Hussein (as) huku macho yao yakibubujikwa na machozi kwa kulikumbuka tukio la Karbala. Ni miaka 1372 imepita tangu lilipojiri tukio hilo, lakini unapowadia mwezi wa Muharram kila mwaka, Waislamu huendelea kujumuika pamoja na kushiriki kwenye majlisi za kumuomboleza Hussein Ibn Ali (as) na wafuasi wake.

  • Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi

    Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi

    Sep 20, 2017 03:18

    Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.

  • Wanajeshi wa Israel wazuia sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa

    Wanajeshi wa Israel wazuia sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa

    Jul 21, 2017 09:06

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka vizingiti chungu nzima kuwazuia Wapalestina kusali sala ya Ijumaa katika msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu huku kijana wa Kiplaestina akifyatuliwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel.

  • Waislamu wakumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume, Imam Sadiq (as)

    Waislamu wakumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume, Imam Sadiq (as)

    Jul 20, 2017 00:21

    Waislamu kote duniani hususan wafuasi na wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad (saw) leo tarehe 25 Mfunguo Mosi Shawwali wanakumbuka na kuombeleza tukio chungu la kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume huyo wa Mwenyezi Mungu, Imam Ja'far Sadiq (as).

  • Wanajeshi wa Israel wawaua shahidi vijana wanne Wapalestina

    Wanajeshi wa Israel wawaua shahidi vijana wanne Wapalestina

    Jun 17, 2017 02:46

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua vijana wanne Wapalestina.

  • Waislamu kote dunia wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti wa Mtume Muhammad (saw), Fatima (as)

    Waislamu kote dunia wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti wa Mtume Muhammad (saw), Fatima (as)

    Mar 02, 2017 01:21

    Waislamu duniani hususan wafuasi wa wapenzi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) leo wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Bibi Fatima Zahra (as) aliyeaga dunia katika siku kama hii ya leo tarehe 3 Jamadithani mwaka wa 11 Hijria.

  • Mashambulio ya Saudia yaua wanafunzi wanane katika mji mkuu wa Yemen

    Mashambulio ya Saudia yaua wanafunzi wanane katika mji mkuu wa Yemen

    Jan 10, 2017 12:58

    Wanafunzi wanane wameuliwa shahidi katika mashambulio mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia katika mji mkuu wa Yemen Sanaá.

  • Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi kijana Mpalestina huko Ramallah

    Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi kijana Mpalestina huko Ramallah

    Dec 18, 2016 04:06

    Kijana mmoja Mpalestina ameuawa shahidi katika hujuma ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)

    Arubaini Katika Maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu (5)

    Nov 17, 2016 06:43

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein (AS) ambapo leo tutazungumzia kauli na maneno ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei kuhusu tukio hilo adhimu. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni.

  • Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)

    Mafundisho ya Imam Hussein AS (6)

    Oct 09, 2016 05:37

    Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh. Karibuni wapenzi wasikilizaji kuwa nasi tena katika mfululizo mwengine wa kipindi hiki maalumu cha Mafundisho ya Imam Hussein (as) kinachozungumzia falsafa na malengo ya harakati na mapambano ya mtukufu huyo katika Siku ya Ashura katika ardhi ya Karbala. Ni matumaini yangu kuwa mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi kusikiliza niliyokuandalieni katika mfululizo huu.