-
Wasiwasi kuhusu harakati mpya za Israel za kukivunja kijiji kingine cha kiistratijia cha Wapalestina
Sep 14, 2018 06:39Hatua ya jeshi la utawala katili wa Israel ya kuzidi kukizingira kijiji cha kiistratijia cha Khan al Ahmar cha mashariki mwa mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, imezusha wasiwasi kuwa Israel imekusudia kukishambulia na kukikalia kwa mabavu kijiji hicho na kuwafanya wakimbizi wakazi wake.
-
Wapalestina waandamana kulaani ujenzi wa vitongoji wa Israel
Jan 14, 2017 03:57Wananchi wa Palestina walifanya maandamano Ijumaa ya jana kulalamikia siasa za utawala wa Kizayuni za kubomoa nyumba zao katika ardhi zilizoporwa na utawala huo mwaka 1948.
-
Kuzidi kuwa "ngangari" Wapalestina mbele ya jinai za Israel
Jan 13, 2017 02:31Wakazi Waarabu katika mji wa Qalansuwa wa kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel wameanzisha mgomo wa wote kwa ajili ya kulalamikia hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuvunja nyumba zao 11.
-
Kubomolewa zaidi ya nyumba 800 za Wapalestina na askari wa Israel
Dec 16, 2016 02:39Wakuu wa jumbe za Umoja wa Ulaya walioko Batul Muqaddas na Ramallah huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu wameripoti kuwa tangu ulipoanza mwaka huu wa 2016 hadi sasa askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa zaidi ya nyumba 800 za Wapalestina.
-
Israel imebomoa nyumba 780 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi mwaka huu wa 2016
Oct 29, 2016 02:39Utawala haramu wa Israel umeharibu nyumba 780 za Wapalestina katika eneo unalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan tokea mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016.