-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran:Vyombo vya intelijinsia havitawaacha magaidi
Jul 10, 2023 02:50Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa vyombo vya intelijinsia havitaacha kuwasaka magaidi.
-
Mashambulizi ya IRGC dhidi ya ngome za magaidi huko Kurdistan Iraq
Oct 02, 2022 02:13Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza duru mpya ya mashambulizi dhidi ya ngome na maficho ya magaidi kufuatia kuongezeka hujuma na harakati dhidi ya Iran za magaidi waliopo katika eneo la Kurdistan huko Iraq.
-
Marekani kutuma wanajeshi Somalia kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab
May 17, 2022 07:33Katika kuendeleza hatua zake za kijeshi na sera za uingliaji kati , Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa washington ina mpango wa kutuma tena wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia kwa lengo la kile alichokitaka kuwa kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida.
-
Magaidi 17 wa kundi la al-Shabab waangamizwa na jeshi katikati mwa Somalia
Jan 08, 2022 07:10Wanachama 17 wa kundi la kigaidi la al-Shabab la Somalia wameangamizwa na jeshi katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kufuatia opesheni ya kijeshi dhidi ya wapiganaji hao.
-
Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya; tatizo kubwa na la kimsingi
Aug 31, 2021 08:18Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu nchini Libya bado lingali ni tatizo kuu na la kimsingi kwa nchi hiyo katika njia ya kurejesha amani na uthabiti.
-
Msumbiji yaanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa Palma
Mar 29, 2021 11:37Wizara ya Ulinzi ya Msumbiji imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limeanzisha oparesheni kubwa ya kukomboa mji wa pwani wa Palma unaodhibitiwa na kundi linalojiita al Shabab.
-
Oman yapinga Ansarullah ya Yemen kuwekwa kwenye orodha ya makundi ya kigaidi
Dec 05, 2020 12:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amepinga pendekezo la serikali ya Marekani la kuiweka harakati ya Ansarullah ya Yemen kwenye orodha ya makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa kuiita kundi la kigaidi moja ya pande kuu zinazopigana nchini Yemen hakusaidii kutatua mgogoro wa nchi hiyo.
-
Boko Haram yatungua helikopta Nigeria na kuua watu 5
Nov 19, 2020 06:55Kundi la kigaidi la Boko Haram limetungua ndege aina ya helikopta huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua watu watano.
-
Serikali ya Iraq: Hatuitambui Ikhwanul Muslimin ya Iraq kuwa ni kundi la kigaidi
Oct 26, 2020 02:31Msemaji wa serikali ya Iraq amesema kundi la Ikhwanul Muslimin ni sehemu ya mchakato wa kisiasa wa nchi hiyo na wala serikali hiyo haiitambui harakati hiyo kuwa ni kundi la kigaidi.
-
Kundi la kigaidi la Boko Haram laua raia 10 na kuteka nyara wengine saba nchini Chad
Aug 01, 2020 08:06Magaidi wa kundi la ukufurishaji la Boko Haram la nchini Nigeria wameua raia 10 wa Chad katika shambulio dhidi ya kijiji kimoja magharibi mwa nchi hiyo.