-
Mgogoro wa Libya na jitihada za kuutafutia ufumbuzi
Jan 22, 2020 22:56Nchi ya Libya imo katika siku ngumu na mgogoro mkubwa, na vita na mapigano makali yameendelea kushuhudiwa nchini humo licha juhudi kubwa za kimataifa zinazofanyika kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa mgogoro huo.
-
Muhammad Al Houthi amkosoa Mjumbe Maalumu wa UN katika masuala ya Yemen
Nov 14, 2019 21:53Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amekosoa juhudi za Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen kwa ajili ya kuitisha mazungumzo kati ya harakati ya Ansarullah na muungano vamizi wa Saudi Arabia.
-
Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao
Nov 14, 2019 04:33Baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukubali masharti ya wanamuqawama wa Palestina, makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Jihadul-Islami yamekubali pendekezo la Misri kwa ajili ya kusimamisha vita.
-
Nchi nane za dunia zaunga mkono tangazo la usitishaji vita la Answarullah ya Yemen
Sep 28, 2019 04:34Wajumbe wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani, Kuwait na Sweden, zimeunga mkono tangazo la usitishaji vita la Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen.
-
Jumapili tarehe 18 Agosti mwaka 2019
Aug 17, 2019 21:55Leo ni Jumapili tarehe 16 Dhulqaada 1440 Hijria sawa Agosti 18 mwaka 2019.
-
Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya
Aug 09, 2019 07:39Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umetoa wito wa kusitishwa mapigano kwa sababu za kibinadamu huko Tripoli mji mkuu wa Libya.
-
Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina
May 06, 2019 09:02Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa utawala wa Kizayuni hatimaye umekubali kusimamisha vita ulivyovianzisha huko Ukanda wa Ghaza kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu kutoka nchi mbalimbali duniani.
-
Alkhamisi, tarehe 17 Januari, 2019
Jan 16, 2019 23:13Leo ni Alkhamisi tarehe 10 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2019.
-
Ansarullah: Hakuna hatua iliyochukuliwa kwa ajili ya kusitisha mapigano al Hudaydah
Jan 09, 2019 03:33Afisa Uhusiano wa Nje wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, hakuna hatua yoyote ya kivitendo iliyochukuliwa kwa ajili ya kutekeleza mapatano ya kusitisha mapigano katika mji wa bandari wa al Hudaydah magharibi mwa Yemen na kubadlishana mateka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa mjini Stockholm, Sweden.
-
Al Houthi: Tarehe ya kusimamishwa vita al Hudaydah Yemen imeshajulikana
Dec 16, 2018 04:04Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen ameukabidhi ujumbe wa San'a unaoshiriki kwenye mazungumzo ya amani ya nchi hiyo huko Sweden, tarehe ya kusimamisha vita katika mkoa wa al Hudaydah.