-
Jumatatu tarehe 06 Agosti 2018
Aug 05, 2018 20:49Leo ni Jumatatu tarehe 23 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Agosti 06, 2018.
-
Salva Kiir atangaza usitishaji vita wa kudumu Sudan Kusini
Jun 29, 2018 23:38Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza usitishaji vita wa kudumu kote nchini humo.
-
Tangazo la Taliban la kusitisha vita na kupokewa vyema na serikali ya Afghanistan
Jun 10, 2018 22:11Serikali ya Afghanistan imetangaza kulikaribisha kwa mikono miwili tangazo lililotolewa na kundi la Taliban la kusitisha vita katika siku za Idul-Fitri.
-
Jumamosi, Mei 12, 2018
May 11, 2018 23:44Leo ni Jumamosi tarehe 25 Shaaban 1439 Hijria mwafaka na tarehe 12 Mei 2018 Miladia.
-
Mogherini ataka kuandaliwa mazingira ya kusimamisha vita kote nchini Syria
Feb 28, 2018 12:58Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameziomba Russia, Iran na Uturuki ziandae mazingira ya kusimamisha mapigano huko Syria.
-
Rais wa Sudan arefusha muda wa usitishaji vita na waasi kwa miezi mitatu mingine
Jan 04, 2018 10:51Rais wa Sudan amerefusha usitishaji vita wa upande mmoja katika majimbo ya Blue Nile na Kordofan ya Kusini kwa miezi mitatu mingine.
-
Waasi wa Darfur watangaza kusitisha vita kwa miezi miwili
Dec 02, 2017 03:51Makundi matatu ya waasi wa eneo la Darfur huko magharibi mwa Sudan yametangaza usitishaji vita wa miezi miwili hadi tarehe 31 Januari mwaka 2018.
-
Russia yatishia kuishambulia Israel iwapo itavunja makubaliano ya kusitisha vita Syria
Aug 07, 2017 22:33Naibu kamanda wa vikosi vya jeshi la Russia huko kusini mwa Syria ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba, uwapo utakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano kusini mwa Syria, Moscow inajua nini inapaswa kufanya.
-
Jumapili Agosti 6, 2017
Aug 06, 2017 13:57Leo ni Jumapili tarehe 13 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe 6 Julai, 2017.
-
Takwimu Jumapili Agosti 6
Aug 05, 2017 22:42Leo ni Jumapili tarehe 13 Dhul-Qaadah mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe sita Julai, 2017 Miladia.