-
Ijumaa, Mei 12, 2017
May 10, 2017 00:53Leo ni Ijumaa, tarehe 15 Shaaban mwaka 1438 Hijria, sawa na Mei 12 mwaka 2017 Miladia.
-
Dakta Zarif: Usitishaji vita nchini Syria ni mafanikio makubwa
Dec 30, 2016 00:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha utekelezwaji wa makubaliano ya usitishaji vita nchini Syria na kusema kuwa, hatua hiyo ni mafanikio makubwa na muhimu.
-
Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen lakubali usimamishaji vita
Nov 20, 2016 23:30Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amekaribisha juhudi za kusimamisha vita kwa ajili ya kukomesha uvamizi wa Saudi Arabia nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Somalia atoa hakikisho la kusitishwa mapigano Galkayo
Nov 19, 2016 12:13Waziri Mkuu wa Somalia Omar Sharmarke amesema, amepata hakikisho la kutekelezwa na kuheshimiwa usitishaji vita baina pande hasimu za maeneo ya Galmudug na Puntland.
-
Sudan kuanza mazungumzo ya usitishaji vita
Aug 10, 2016 03:27Mazungumzo yenye lengo la kufanikisha usitishaji vita wa kudumu katika mikoa mitatu ya Sudan iliyoathiriwa na mapigano yameanza Jumanne wiki hii siku moja baada ya muungano wa upinzani kusaini ramani ya njia ili kuhitimisha uhasama na kufikia suluhu ya kisiasa.
-
Pande hasimu nchini Sudan Kusini zatangaza usitishaji vita
Jul 12, 2016 03:17Pande mbili zinazohasimiana huko Sudan Kusini na kusababisha kuzuka upya kwa vurugu nchini humo zimetangaza kusitishwa kwa mapigano, baada ya kuwepo kwa siku kadhaa za machafuko mjini Juba zilizosababisha vifo vya mamia ya watu.
-
Russia yakaribisha usitishaji vita Yemen
Apr 12, 2016 23:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekaribisha kutekelezwa usitishaji vita huko Yemen.
-
Kuanza usitishwaji vita Yemen
Apr 11, 2016 00:17Usitishwaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa Yemen ulianza jana usiku (Jumapili) kabla ya kuanza mazungumzo ya amani baina ya pande hasimu nchini Kuwait.
-
Kuafiki Syria mpango wa usitishaji vita
Feb 24, 2016 03:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetoa taarifa rasmi na kueleza kwamba serikali ya Damascus inaukubali na itautekeleza mpango wa usitishaji vita uliotangazwa na Marekani na Russia.